@arifuson1: Upendo wakumcha Allah ndani ya ndoa❤️🕌#Istiqama #shekhjamaludinothman #Nikah #Allahfirst #mombasatitokers🌴💖🇰🇪

Arifu
Arifu
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 17 August 2026 21:07:16 GMT
232541
29145
231
5462

Music

Download

Comments

sadlinah25
Sadlinah 👸🏿 :
Allah anijaalie mume kama huyo anaemzungumzia sheikh🥰inshaaAllah🤲
2026-08-18 05:07:39
131
amproudtobeamuslim4
subby😘 :
jmn moyo ukiwa mzito kusal tunafanyaj??
2026-08-18 08:01:21
46
khairey0821
Yote heri :
Mie namtaka huyu shekh
2026-08-18 07:27:34
22
aisharashid051
aisharashid051 :
ss tusio nanyota yandoa tunafanyaje
2026-08-18 12:12:31
1
ashaz164
ashaz :
I wish I have one that we can make night prayers together yaa Allah,🤲🤲🤲
2026-08-18 11:19:25
11
user336153183885
farhiya Abdullahi 😍💞 :
Mimi nolimwabia hata faradhi amka uswLi .ananiambia enda amsha watoto wako .nifanyiye Dua Mimi naswali hata kiami Laila na yeye hata faradhi .ni gumu
2026-11-05 08:38:14
0
aunty.mei8
aunty mei :
Na waeza kuswali kuanzia raqaa ngap Huo usiku
2026-08-18 20:20:44
3
mahja75
mahjabeel collection 😍 :
yaallah tujaliye na sis tuliyokuwa hatujaolewa wala hawajaowa tuwe miongoni mwa wenyekufanya km hayo 🤲
2026-08-18 09:10:11
13
cute.mammy0
😘Cute mammy collection 🥰💞 :
mashallah Allah anijalie mume namna hyo inshallah 🥰
2026-08-18 08:44:13
7
famau41
famau :
Allah atuongoze tupendane na wake zetu yarabi
2026-08-18 17:00:56
5
esha38983
Esha3898 :
mwenyezi mungu aniajalie mume mwenye kheri na mimi tuweze kuhimizana katika yaliyo ya kheri na kukatazana maovu
2026-08-20 09:44:52
3
zamzamdabaso76
zamzamdabaso7 :
jazakalla kheir sheikh
2026-08-19 16:25:41
2
khadjaayele
Khadja Ayele :
🥰🥰😇 mashalla
2026-08-20 11:02:56
1
user77495441779280
halima bby🥰🥰🥰 :
Allah anijalie mume kama huyo☺️☺️
2026-08-21 16:31:08
0
yasmeen.s58
🌺🌺ياسمين🌺🌺 :
mimi nikamuambia aliniambia nisishindane nae😅😅😅
2026-08-19 16:16:14
1
mohammed.mwangia
Mohammed mwangia :
ALHAMDU LILAH INSHA ALLAH
2026-08-18 10:43:07
4
mosi.sefu0
Mosi Sefu :
allah. atupe kilichokuwa na her yarabb
2026-08-22 12:49:50
0
tiktok.commine5
Mine✨ :
i wish mtu mmoja angeiskia hii
2026-08-19 22:16:24
0
memyself728
rukiyamohammed269 :
Na ikiwa hata swala ya alfajiri mume haswali yaani mpaka watoto wanajua baba yao haswali😭😭😭😭
2026-08-19 14:07:28
1
plmarisayo
fazed what :
mashallah
2026-08-18 13:39:42
0
ummu_adhnaan
Ummu Adhnaan :
mashallah
2026-08-19 15:09:32
1
asya.hamad6
Asya Hamad :
swadaqta
2026-08-18 14:46:25
1
fatumarashidi675
mtoto wa mama :
Allah atupe wenza wema inshallah
2026-08-19 15:35:27
1
borassefu
BORAS SEFU :
allahu akbar
2026-08-19 21:44:50
1
emmyjwarhm
Emmy J wa Rhm👁️💍 :
Allhamdulillah 🤲 katika hilo🥰
2026-08-22 04:13:15
1
To see more videos from user @arifuson1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About