Tivol Studio ni studio kongwe kwa kanda ya ziwa ilianzishwa 2001 na Mzee Madaraka. Amosi Makaya alianza pale 2003 Tivol na baadae kuanzisha A rekodi 2013 huko Mwanza baada ya kupata uzoefu...
Tivol hiyo ilikufa miaka hiyo ya 2013 na kuibuka studio ya;
1. A rekodi
2. Blackboys
3. Passmedia
4. Bicon inakaja nayo
zingine zimekuja kuibuka utawala wa magufuli 2016 - 2021.
2026-08-20 09:43:28
2
samwely marco :
wimbo unaitwaje
2026-08-18 12:41:17
1
Jfour📌 :
shida ya nyimbo za madebe punch line mbili tu tayari kwenye colas 😂
2026-08-20 06:01:31
2
Immanuel B Maloda :
tuipatie ni ile nalehoi ngalo nalekamili kote ipolu samahan ety kaka nakumbuka mbali san🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-09-15 14:41:03
0
masumbuko478 :
huu wimbo mwakagan
2026-08-18 05:34:18
1
KAPILILO BELLA :
madebe jinasa 2013
2026-08-19 06:12:09
0
Anthony09 :
nomaaaa sanaaaa
2026-08-19 19:29:24
0
EXJ :
😂
2026-09-08 07:16:47
0
tigiya_mhulilo :
Rasi🤣
2026-08-19 20:26:11
0
Chikwende :
mhuuuu kitambo ichooo
2026-08-19 04:47:22
0
Bomba dear :
Habari sna
2026-08-19 18:44:12
0
somanda saguda :
umenikumbusha mbal san
2026-08-19 07:03:36
0
Dpascali ✊️ :
aise 🏃🏽➡️🏃🏽➡️😥😥
2026-08-26 21:04:59
0
jifuti :
baba umetisha aise
2026-08-20 07:22:17
0
Dunduru boy :
Hatar san nakumbukaa mbal san nilikuwa nauzaa maziwa mwaka 2013
2026-08-18 17:23:55
0
butondoscripttoscreen :
nakumbuka mbali sana kipindi nakata magugu ya pamba below ya 2015
2026-08-19 21:30:31
0
aloycevenance :
xaaan Aisee
2026-08-24 16:57:02
0
Teacher Kaligo Dotto Njige :
Madebe alianza kutumia muziki wa kisasa mwaka 2010 na hii ilikuwa kazi yangu ya mwaka huo 2010 kuelekea 2011... imekuwa kazi ya muda kidogo wengine walikuwa wamezaliwa saizi wana familia na watoto wawili, mmoja.
2026-08-20 09:38:55
1
Isack Masegese :
Babu enzi hizo Bado Nakuita baba babu😂
2026-09-07 08:13:47
0
Masala m boy Masala m boy :
a kitambo sana
2026-08-18 19:06:08
0
shabani :
umetisha saaaaàaaaaaan umenikubusha mbali sana duuuuuh😭😭😭😭😭
2026-09-17 20:54:57
0
ng'wana eliza❣️ :
2012 hii ngoma ilikua💥
2026-08-19 03:15:21
0
vvvg :
Hatali sana
2026-08-18 19:34:58
0
Phaustine Juma :
omjinasa kataumeme yabhagika
2026-08-18 20:23:35
0
keflen joseph :
balala mitambo
2026-09-07 08:26:11
0
To see more videos from user @yohanasegeja, please go to the Tikwm
homepage.