the bibble is not a myth multple storirs have been proved historically umlike the quran
2026-08-18 10:39:40
5
Theo :
The conference 100% logic 20%
out of context// error 404
2026-08-18 14:39:50
0
Jofreychandy :
This is a real spiritual food!💪
2026-08-18 04:02:07
5
Victus Paul :
Wenye hii Mindset tuko wachache sanaa
2026-08-18 11:10:12
16
Best 73.0 :
Man Unajua Sana.Ila wafia dini hawawezi kukuelewa.Lakini tutafika tu.
2026-08-18 09:07:37
17
Malale Martini :
Li Deo Kama Deo
2026-08-18 08:52:03
2
MLIMWENGU :
yes sisi ndiye yule unae mtafuta msikitini na kanisani
2026-08-18 06:44:35
13
@Senior_Ben :
hakuna watu wanajua kutetea hoja na kujenga hoja vzuri kama hawa wanao jaribu kuikataa biblia, ila ukweli utabaki pale pale aiseeee
2026-08-18 16:20:15
6
MGAGAJA KALLUNGA :
big up broo
2026-08-18 12:21:50
0
Poim John Msangi :
sasa dunia aliumba nani
2026-08-18 06:30:21
4
Diana Hendry :
Tumuombee huyu kaka jmn 😂Mungu amsamehe
2026-08-18 08:52:57
2
Mr Jastin :
nina swali kama dini zingeanzia Africa wazungu wange kubali kuokoka?
2026-08-19 12:47:17
4
HELIUM FURNITURE DECOR :
Sasa kama unasema ni story mbona uo ukoloni umekuja akutawala baada ya din zote kufika hivi yaan ukristo umeingia africa Karne ya kwanza na uislam umeingia karne ya 7 alafu unasema ni ili wa tutawale na utawala wa kikolon ulikuwa karne ya 19 sasa toka karne ya kwanza unasemaje ulikuwa uje kuwa mpango kwa kututalawa yaan utakuwa ni mpango wa waliofeli kwamba mpango wa zaid ya karne 15 uje kuutumia kutawala karne mbili au au tatu na kama ni story ili watutawale vip wao mbona wanazo?
2026-08-18 07:36:01
2
DIYOPH :
😳😳Hata mie Nimechekecha sana Ubongo Kuanzia leo siamini Dini
2026-08-18 22:00:34
2
Billz(mtoto wa trump) :
Bible ni kitabu cha deep perspective to explain daily life mfano,hadithi ya david na goliath ni mfano wa matatizo na suluyake, Kelele zilikuwa upande wa tatizo, sio upande wa suluhisho,matatizo ni kama goliath yanakuja na dramaaa ila suluisho ni utulivu na jiwe moja tu tatizo chali, jamaa anapata shida koz shida ya spiritual awakening uwezi kumwambia mtu aliye lala
2026-08-18 13:12:24
6
Elly charmy :
tupe asili ya mwanadamu boss
2026-08-18 05:15:08
1
Jane_Cutefinds TZ :
M nisaidieni jamani ukiachana na Ethiopia ambako watu wanaamini ukristo ulikuwepo hata kabla wakoloni, Je wahenga walioishi kabla ya ukoloni wa nchi kama Tanzania waliofariki wataenda motoni!? Maana wao hawakumjua Mungu wa kikristo, na according to the bible kila mtu atasikia neno la bwana na wao hawakulisikia je hatima yao iko wapi!?
2026-08-18 10:52:09
0
Billz(mtoto wa trump) :
Kuna watu wanazani kulikuwa na abel na cain, ila ukweli abel ni upande mmoja wa ubongo wako cain ni upande mwingine,ishu za ego (right vs left brain),kuna mambo mengi ukiwaambia watu wanataka kwenda kwa ma pastor kupewa maji
2026-08-18 13:14:39
3
innosenti johni :
haya
2026-08-18 05:57:18
1
HERODEtz :
siwez kuacha kukufollow
2026-08-18 07:48:26
1
Mickie :
jamaa hakatai Mungu yupo anachosema ni kwamba they mislead us to understand ukweli kuhusu Mungu wa kweli how binadamu mwenzako aje from nowhere akachukua babu zako na kuwatesa na kuwapeleka utumwani leo ndo tafsiri ya Mungu tunaitoa kwao by what measures
2026-08-19 13:18:42
1
Jo :
Is the concept about the book Bible or Word of God in the Bible?
2026-08-19 11:25:48
1
@_Kuñju_+255 :
utofauti wa biblia na vitabu vingine is Bible is past Bible is Present And Bible is future
2026-08-19 08:17:57
1
To see more videos from user @modernart225, please go to the Tikwm
homepage.