Duh hii clip nliskiliz kitamb naon imekatishwa shekh seif alitia irabu aya yote na hao vijana wakaondok wakiwa wameaibika
2026-08-18 15:02:26
8
Imamu Shabani Mponda :
duh shaikh JAZAAKA LLAHU KHAYRA kwa kumvumilia huyo kijana ipo siku atayajutia aliyokufanyia
2026-08-18 13:25:33
10
abuu junada💬 :
allah amhifadh shekh wetu mlezi
2026-08-18 11:35:40
1
Ahmadu Rasuli :
huyu ni sheikh nani
2026-08-18 14:45:44
1
user153840162 :
heeee! walimu waengezewe mishahara kazi kweli wanayo
2026-08-18 19:30:24
5
Walulu :
masufi matatizo kwakweli
2026-08-18 06:13:02
3
kande :
hii namba nipewe yote nitaipata wapi na imeandikwa vip
2026-08-18 19:09:03
1
Badilamu :
hii miziki background za nini?
2026-08-18 22:44:37
1
Abu jabir :
maswahaba wakujua izokhayri tunazozijuasisi
2026-08-18 13:55:42
2
Yuzaseef :
2026-08-18 07:07:47
7
twakhab :
Allah akulipe kwakuwa na subra nae 🤲🤲🤲
2026-08-18 14:17:23
4
MWEUSI :
mimi ni Sufi(TWARIKA)...QADARIA 😃😃😃😃
2026-08-19 03:19:43
1
ibn Abbaas :
YAANI DINI NDIO WACHEZEA IVI KWA KUPANGA NA VIJANA WAKUULIZE ILI UJIKUTE ETI WAJENGA HOJA ALLAH ATUSAMEHE WOTE
2026-08-31 17:08:45
0
Mohamed ahmed :
ss hio aya maswahaba hawakuijua hiyo aya
2026-08-18 16:38:23
2
Mmanga :
Irabu alitia, na wao wakakubali kuwa yupo sahihi, mwisho wakaikataa haqq.
2026-08-19 08:21:46
1
حافظ الرياض 🇸🇦 :
Ikhwaan, Assalaamu 'alaykumu warahmatullaah. Wapi nitaipata yote hii? Au nani anayo?
2026-08-18 19:01:14
0
youngdillah :
usufi ni kitu kibaya sana ukishaingia kwenye moyo bc kutoka na kuuacha ni jambo gumu sana wallah
2026-08-18 18:47:50
1
Abuujalaly :
Kuna sheikh mmoja aliwahi nambia kuwa sufi akitoa hoja yamrejea mwenyewe kama mlivo sikia apo na mbio juu
2026-08-18 11:30:01
1
user3437050194159 :
ingekuw vijana wote wanao soma na wanao jithd ktk din na wanao jithd kufuat usahih wanakuw na hekm kam huyu shekh tungewaelew vzr san ila wengn tulishindw kuelew mapem kutokan kila tukiuliz majib hatuelew ila Alhamdulillah tumefik kw uwez wa Allah na tumejuw hakk
2026-08-19 07:17:25
0
machecheo :
Subuhannallh kuijuw haki ni neema ya allha kw kwel kuwa sufi ni mtihan maan wan shubuhat nyeng wanapend san kujion wajuz wa lugha
2026-08-18 12:32:43
2
Khubaybu Muhammad :
akhy tupatie yote kama yaweza kupatikana
2026-08-18 15:56:34
1
abuzubeir6 :
hini audio hajekamilikaa kamisha mm nilisukiliza hi audio 2020 weka ya pili
2026-08-18 13:38:37
2
NAUWAAF :
@NAUWAAF:عمر رضي الله عنه في قوله تعالى قل بفضل الله وبرحمته فبذالك فليفرحوا هو خير مما يجمعون قال فضل الله هو القرآن وليست المولد
2026-08-18 11:34:06
1
abuu hamzah :
tuma ile irab akhy
2026-09-04 07:52:25
0
Makasia :
akhii naomba unitumie hii yote
2026-08-18 18:36:08
0
To see more videos from user @abassipazia, please go to the Tikwm
homepage.