@power_media08: HAYA SASA! TIMU JAY-RUTTY, TIMU MANGUNGU NA TIMU MO DEWJI NJOENI HARAKA MUMSIKILIZE DAWAA KUTOKA KWA HAJI SUNDAY MANARA! Siandiki wala siongezi neno! Wenye Simba SC na msio wenye Simba SC mna nafasi ya kusikiliza nasaha kutoka kwa Haji Sunday Manara. Na hili linawahusu ata nyinyi mashabiki wa Yanga SC. VIDEO KWA HISANI YA WASAFI MEDIA/FM

Power media
Power media
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 18 August 2026 04:06:32 GMT
15618
458
7
16

Music

Download

Comments

bikotz366
Biko Electronics :
hasa allykamwe
2026-08-18 06:36:19
1
user2094918658834
Jesca :
hao walikuta tyari hizo timu ni kubwa ndo maana wakaamua kuwekeza
2026-08-18 11:51:43
2
emmanuellwidiko
kipanya82 :
sana mi yanga lkn naumia sana wanapomdhihaki mo ...
2026-08-18 11:35:11
0
mkuliajrjr
Ngasa1993 :
wakitoka watakuja wat wengine bhaaana acha kututisha
2026-08-18 13:26:57
0
mmangahd
Mobi :
Hakuna Tim Mangungu kwa sababu Mangungu ata pesa ya kula inamshinda
2026-08-18 07:04:32
0
user7414346166185
user7414346166185 :
vurugu zote fitna zinafanywa na gsm anamtumia heris na anawatuma mashabiki wa simba waivuruge simba manara acha unafki gsm ndiyo anaeivuruga simba kwasababu hakuchaguliwa ndiyo maana anafanya yote kuikomoa simba
2026-08-18 13:12:16
0
To see more videos from user @power_media08, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About