@theyenvy_cauthal21: 🤭

Cauthal ♡
Cauthal ♡
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 18 August 2026 04:21:58 GMT
449365
32247
767
272

Music

Download

Comments

sisy.g
sisy g :
Tusiwe na harak tutamuonaga uso 😁😁
2026-08-18 09:47:24
767
seif.seisal
Seisal :
Ukiacha maigizo ya Genz haya ndio Maisha halisi ya watanzania
2026-08-18 12:16:34
561
duch_026
duch_026 :
nashindwag kuelewa naonag post za maisha mawili tofauti ya kawaida na ya expensiv
2026-08-18 18:03:43
144
kipazameditz
KIPAZAmedi-tz :
Mwenyezi Mungu akujalie katika utafutaji wa riziki yako
2026-08-18 07:04:42
204
khamomi_19
Khamomi_19 :
Kwani vlog zinasaidia nin
2026-08-18 09:11:57
79
theyenvy_cauthal21
Cauthal ♡ :
Hivi ni kweli hamjawahi kuona Charcoal whitedent au mnaniigizia 😂
2026-08-18 18:34:06
41
mickdadmsangi
MICKDAD :
Hiki ki sound nikikisikia tu najua ni wewe msichana😂😂😂😂
2026-08-18 09:54:29
109
user7498628688626
Agnes ❤️ :
yani nimetoka kutafuta mihogo nimekosa nimerudi kujiliwaza TikTok nakutana na mihogo hili limenilza sanaaa😂😂
2026-08-19 06:03:46
57
enolizyofficial
Enolizyking :
umeolewa
2026-08-18 08:35:33
8
user40297696124344
Rahma Said 🥰♥️ :
hizo hela huku nilipo hazipokelewi kabisa madukani unaambiwa ni secrepa 🤣🤣🤣🤣nilishangaa sana
2026-08-18 07:05:43
22
shamiyer2
Its_just_me..☻️ :
Mimi hyo mihogo tu dah😂🥰
2026-08-18 06:51:31
29
niwagla.kakur
Niwagla kakur :
weeee hamn muuza mihogo apa husitupange, hila pendeza sana mama
2026-08-19 19:19:16
6
mampenzi17
MA MPENZI :
Hv watu mliocomments kweny hii vlog ni wageni we zetu hap au mmeamua tu kujizima data? 🌚 imagine mtu kabisaa anashangaa biashara ya mihogo utadhania sio wao waliolelewa na biashara za vitumbua 💔Acheni bc maigizo kweny vlogs za watu khaaa🙌🏻……! Anyways mihogo imetubu balaa ya Leo shostie na msalimie mama angu❤️
2026-09-01 15:33:50
6
being_butterfly99
حبيبة✨❤️ :
Tumefika nyumbani sasa🥱
2026-08-18 06:44:26
6
dullayolubuva
Abdallah lubuva :
asalamghalykum warahmatullah wabarakatu, location please tuje kukuungisha, Masha Allah
2026-08-19 08:32:34
7
mwinyiboga7
zak :
hii ndio tanzania..beautiful country
2026-08-28 19:40:33
0
bestdulla19
Maymur_19 :
94:5 Quran فَإِنّمَعَالْعُسْرِ يُسْرًا Basi kwa hakika pamoja na uzito upo wepesi
2026-08-18 11:58:19
6
belleame_...0
𝓬𝓱𝓲𝓬𝓪 𝓼𝓾𝓪𝓿𝓮🥰🌸💞 :
Maisha halisia hzi ndo vlog napenda
2026-08-18 09:56:52
6
rismahatunoutfit0
rismahatunoutfit0 :
Mashallah mungu akfungulie mlango yako ya ridhki kwa ktafta ridhki yako ya halal nakpenda sana
2026-08-18 17:46:52
7
mohamedally088
BIGINAMJUAJI〽️ :
Cau ni mzuri msiwaze me nishawah kumuona 🙈
2026-08-18 12:01:51
5
umommychimammy
Mommy chimammy :
10/10 nlp
2026-08-19 17:38:14
0
deni_technologies
𝗗𝗧𝗘𝗖𝗛𝗡𝗢𝗟𝗢𝗚𝗜𝗘𝗦 :
maisha ya ukweli😁😁
2026-08-18 14:56:18
0
barkis840
balqis :
blackdent sio nzuri zinatengenezwa na mkaa.. na dini yetu hairuhusu mkaa kupigia mswaki
2026-09-13 08:19:51
0
meddy.max38
Meddy max💥💥💥 :
bila kuchok 🔥🔥🔥🔥🔥
2026-08-21 19:17:02
0
m.k44221
M.K 🌙 :
ya 1000
2026-08-19 11:13:04
0
To see more videos from user @theyenvy_cauthal21, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About