As long as ameamua kuwa busy na mie niko busy...... I choose myself maana utaishia kulia kila siku.
2026-08-18 15:17:28
5
Self Love :
weka ni weke ☺️☺️
2026-08-19 16:29:48
0
habiba omary 💞 :
me binafsi nimemkopi Mme wangu hizo tabia sahivi analia yeye na atajijuw 😁 na sikufunzwa hivo
2026-08-18 08:45:31
41
hi :
coolsent
2026-08-18 13:46:38
1
Orezi Wizzy :
accurate
2026-08-18 07:22:38
1
user9738533739314 :
Leo umenikunaa madam Leila
2026-08-18 08:40:03
1
_msrehma :
ni ukwel mtup mtu han hat muda wa kuzungumza na mkewe yy cm cm na yy .
2026-08-18 12:26:55
19
sara mollely♏ :
me akiwa busy na cm na mm huyo kwenye azam tv
2026-08-18 12:56:08
7
sophie madam :
dada mi ucku kucha anachat ukiuliza jibu ni mteja khaa ni shida amani haipo
2026-08-19 19:08:11
2
Agasha :
Wangu akirudi anatoa sauti Kisha anajifanya anacheza game na akienda bafuni anaenda nayo
2026-08-18 15:31:27
5
minah :
Huyu madam huwa anaongea ukweli sana ambao watu wengi wanavifanya
2026-08-18 08:15:00
20
Neema Mboya :
Tatizo linaanzia kwenye kuchepuka, na ukishaona u busy na simu unazidi kila akija 95% ni mchepuko unamchatisha na kama una kifua fuatilia! wakati mwingine huwa tunajifanya wajinga ili tu maisha yaendelee ndoa ni ngumu sana Madam.
2026-08-18 07:06:43
6
Mohd Alkharousy Masar :
shukran kwa mafunzo kuna na hili wanaume kupekua na kupokea simu ya mke wake kila wakati nalo tunaomba ulifafanue
2026-08-18 10:49:32
3
🌺.Hazratul_jannah.🌺 :
2026-08-18 09:24:29
2
jaliaviwanja :
As mm apo nachok mm kun mumewamt nikimlz sbb kwnn unamsalit Mkeo Sio vzr Sabab alizinipa jmn🥺 ety Kasem mkew akirud yupo bze na tv anatak apokelew Saiv Amnyoi zamn Anamnyoa jm kwl Sabab hz alishindw kuammbh kwl 🥺🥺🥺🥺
2026-08-18 12:46:23
1
Iddy Iddy :
fact🔥🔥
2026-08-18 07:04:40
2
Nuru Mkumba :
huwa nakereka mpaka sielewi
2026-08-18 09:57:18
2
Beatrice Samba :
kweli kabisa
2026-08-18 08:09:10
2
tiffah :
Yani 100% ni ukweli Kabisa
2026-08-18 12:59:23
1
hadijawamwakoba :
wapo wengi sana
2026-08-18 09:13:00
1
nureyshy🌷 :
Nyie maadamu kunywa soda naja lipa hapo🥰
2026-08-18 14:30:09
1
user5593647226638 :
napenda sana unavo ongea bi mzuri kama utaki ila ma ujumbe tunayapata sana na ujumbe huu wameupata mungu akuweke love🙏
2026-08-18 14:09:28
1
Angel Gateka :
next
2026-08-18 07:52:57
1
beutycom :
mi wng sio buzy kuchat😂 jamani sim muda woteeeee km hatazami movie basi game 🥺 akiacha dk1 basi ujue amesinzia
2026-08-18 09:03:05
2
To see more videos from user @madam_leila, please go to the Tikwm
homepage.