@mzeewakijiji1: Historia ya muziki wa Pwani haijakamilika bila Golden Voice kutoka TANGA ya Bi Mwanahela Salum kwenye burudani lake la SEGE SEGE. #mwanahelasalum #taarab #segesege #tanzania #swahilitaarab

Mzee Wa Kijiji
Mzee Wa Kijiji
Open In TikTok:
Region: KE
Tuesday 18 August 2026 05:23:29 GMT
31184
921
162
292

Music

Download

Comments

fatuma.mwirotsi
Fatuma Mwirotsi :
it was my mother favourite song then 1989 love it🥰🥰🥰sege sege
2026-08-18 10:38:08
3
mshirazi.mbuli
Mshirazi Mbuli :
golden star bana sio golden voice
2026-08-18 13:41:02
2
eddy.kim84
Eid Almansouri :
them days when taarab was taarab
2026-08-18 08:06:22
11
athiyahfarajomar
Athiyah Faraj Omar :
Aaaaaahhhhhh..... Good old days.... But Yanikumbusha tukiwa nyumbani kwetu bado wadogo.. Whole family...
2026-08-18 14:28:07
2
user4397876061105
kulwa2222 :
Old is Gold
2026-08-18 20:06:45
0
maryumasaleem
maryumaSaleem :
back in times
2026-08-18 10:19:32
2
sarah.omar90
Sarah omar🇧🇭🇧🇭🇹🇿🇹🇿 :
huyu c ni yule wa 🎶sitaki sitaki japokua Sina kitu kunyanyaswa sitaki🎶
2026-08-18 12:11:45
7
mzeewakijiji1
Mzee Wa Kijiji :
je unakubaliana kama wimbo huu wa SEGE SEGE ndio ulomfanya akajulikana zaidi kwenye sanaa ya taarab? kama kuna mwengine unaohisi ndio ulompa umaarufu kushinda huu wa SEGE SEGE tutajie hapo chini.
2026-08-18 05:30:37
13
ashaindasio821
Asha Indasio :
wow umenikumbusha sisterngu alikua anaupenda sana huu wimbo
2026-08-18 15:18:00
2
user5805655369226
user5805655369226 :
Good old days pale likoni tukiwa na bwana Mbuzi Alii Kowa.
2026-08-18 14:11:19
2
ayshachibu
Ayshachibu :
HAPA DA TIMAH MTUPU MASHA'ALLAH MUMM5😍
2026-08-18 16:50:30
1
hawa.abdalah
Hawa Abdalah :
🌹🌹🌹🌹
2026-08-18 13:13:06
1
amina.tsumonut.la
Amina Tsumo(nut lady) :
Hongera mama nakumbuka 1998 harusi ya first born wetu msambweni kicte alituburidisha sana Allah amlinde
2026-08-18 13:16:04
1
user9352147319745
eicer jay💗💗 :
sijua ulijificha wapi mama wewe
2026-08-18 17:57:55
1
user6302772110482
rukiruki :
Hii nyimbo nilikua naipenda sana iliimba kwa harusi ya dadangu nikalia sana tuko wawili sa nilikua naona ameenda
2026-08-18 13:38:33
2
rahma.kache.001
Rahma Kache 001 :
Umenikumbusha mbaali...🤗🤗
2026-08-18 17:45:42
1
kigombe.tanga
KIGOMBE TANGA :
nyimbo pendwa ya mama yangu jamani 🥰🥰🥰
2026-08-18 16:05:50
1
azizuuh910
Zuuh76 :
Walikua wakipiga nje barabara 19 wakatihuo sisi wadogo jamani dah nanilikua sipitwa na mama kilasikualikua akieka mbimbozake kitambo👌
2026-08-18 15:44:19
1
user101260324
Amina :
asante
2026-08-18 12:16:22
1
tumainngonyani
Ummu Salma :
Daa nimekumbuka mbali sana 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🔥🔥🔥🔥🔥
2026-08-18 12:38:22
1
fatmaattas7gmail.com
fatma Attas :
mwanahela🥰amekulia nyumbani kwetu tanga Indian street walikuwa na mama na dada yangu kwenye white star na musa shominga.enzi hizo.
2026-08-18 12:45:47
2
iman_faraj99
Iman :
mwanahela yuko wapi huyu mama nakumbika ndie alie imba harusi ya dadangu
2026-08-18 09:28:29
1
To see more videos from user @mzeewakijiji1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About