@extra_mileage4.0: NA HAYA NDIYO MAAJABU YA CHINA. UKIWA GHOROFA YA 22 NI KAMA UPO GROUND FLOOR #extramileagejapan #viralvideos

ExtraMileage_Japan_China
ExtraMileage_Japan_China
Open In TikTok:
Region: GB
Tuesday 18 August 2026 05:33:15 GMT
19968
692
51
41

Music

Download

Comments

c.e.o_jey
C.E.O :
twenty second 🤔!!
2026-08-18 21:13:20
0
muzehenyash
Mr AI🫏🦍 :
nashindwa kuelewa, nashindwa kuelewa 😃😃
2026-08-18 18:43:03
6
zanzibarlocation
zanzibarlocation :
hhhh tuendelee kushangaa tz bado twajenga barabara za kifusi na lami moto
2026-08-18 19:27:46
3
user4290580778069
user4290580778069 :
Hata cjakuelewa kabisa ,nachanganikiwa mm.
2026-08-18 19:35:05
2
yahayaally936
Yahaya Ally :
yaaan ni ngumu kuamin lakin hakuna manma wezetu wako mbele
2026-08-18 16:16:17
3
zamojr.com
Zamoyoni Amosi Jr :
kama itatokea nimekufa sijafika china na miji au majiji yake basi naomba msinizike mnitupe tu niliwe n mbwa mwitu🙏🙏
2026-08-18 19:03:47
2
bonifacepeter0
Badface :
hata sielew yan dah!🥺
2026-08-18 19:04:12
1
captain_scott099
Captain_Scott :
china ni kama ardhi haiwatoshi
2026-08-18 08:39:35
3
thomasmchau7
ask_of_u :
mji mmoja upo tambarale ya mlimani na mji mwingine upo tambarale ya bondeni..ghorofa zimejengwa kutoka bondeni kuelekea juu urefu wa ghorofa 22.
2026-08-18 21:01:38
1
mm.mh.mussa
Mm.mh Mussa :
Tushangaze zaid huo mji juu ya 22F unaukubwa gani?
2026-08-18 20:15:29
1
christiansswai
Christian S. Swai :
siss Gorofa yeny 22 tunaishangaa huko wamejenga mji juu yake du hatar
2026-08-18 19:05:12
1
teachergonza
Teacher Gonza :
maisha ya ghorofani
2026-08-18 09:39:01
1
city.bike.tz
city bike tz :
nashindwa kuelewa😂
2026-08-18 18:47:11
0
hanaf_hn
Hanaf_hn :
ahhh heee haya bana
2026-08-18 15:16:40
0
mouser_cn
ꪑꪮꪊ𝕤ꫀ𝕣_ᥴꪀ :
sis bado tuna zindua maraja ya kamba 😂
2026-08-18 19:28:43
0
user78845655108193
taribo :
sasa awo wafanya biashara wadogo wadgo kumbe wana uwezo kufanya biashara gorofa 22 ndo wadogo kwel?
2026-08-18 17:09:14
0
dulla606
@dulla606 :
huku kwetu hata barabara za mitaa tu zinawashinda hii rangi ni tabu.
2026-08-18 20:11:48
0
stty_89
Reenlight_⭐ :
Hiyo miti juu inaotaje, wamepandisha udongo juu au itakua wamejenga mazingira ya milimani
2026-08-18 20:32:39
0
joel.tanu0
Joel Tanu :
hata sielewi elewi😳😳😳
2026-08-18 21:56:41
0
officialshimu
Hashim :
he
2026-08-18 22:45:09
0
hamisindonga86
hamisi ndonga :
bongo bado maji na umeme unasumbua alafu utasikia mitano tena
2026-08-18 20:33:10
0
masese_07
Masese :
bado tunajenga zahanati 😅
2026-08-18 20:11:19
0
muhammadhussein145
Fundi Mudy :
wamekaa kama siafu kwa kujenga hao jamaa😂
2026-08-18 20:24:34
1
To see more videos from user @extra_mileage4.0, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About