@nyayozamaulamaa: Wizara ya Hijja Saudi Arabia Inatambua Ofisi Moja tu

Nyayo za Maulamaa
Nyayo za Maulamaa
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 18 August 2026 05:34:46 GMT
9437
200
14
19

Music

Download

Comments

mil17366
mil :
Nitapitia Kenya
2026-08-18 14:01:42
3
issa.abdallah17
Issa Abdallah :
taasisi zimejaa mnooo
2026-08-18 12:13:06
0
blackmilla94
black milla :
muhimu msikusanye fedha tu
2026-08-18 16:31:52
0
sheibanyjr
SheibanyJr :
Mi siend kwakwel km wanasimamia hao
2026-08-18 13:37:36
0
samghun24
samghun24 :
hamjamuelewa yaan kila kikundi kiwe chin ya muft n yy ndio kiongoz w nchi kwa muongoz w dini
2026-08-18 15:27:04
0
amanimahmuudmrish
AMANI MAHMUD :
biashara hiyo.kwanini mpaka tasisi ndio ishughulikie hija?
2026-08-18 06:34:26
0
ally_ally_00
Ally AL-QASIMY :
wanatumia nguvu kubwa kumbrand Muft wao. Muft sio muft wa waislam wote ni Mufti wa Bakwata. sasa inakuaje wasiokua wanabakwata kulazimishwa kua chini ya bakwata. uislam umekua na Uhizbi sana skuizi
2026-08-18 15:19:58
0
suleimanali1360
Obelloz :
mh 🤣🤣🤣🤣wapgajiii
2026-08-18 19:15:05
0
papaambouf
Papaa Mbouf :
tutatumia taasis za Somalia
2026-08-18 14:23:27
0
salehsisimba
Simba :
waongooooo
2026-08-18 20:26:35
0
To see more videos from user @nyayozamaulamaa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About