Wewe ni mwalimu hata kama hukuwahi kushika chaki yawezekana mmoja wa wazazi wako alikuwa mwalimu.Hongera yalinikuta mm hayo.
2026-08-19 19:15:45
2
Bayyo :
huyu ni rais ajaye Mungu asikie
2026-09-03 06:44:42
1
Betha Obagi :
kiongozi makini
2026-08-22 16:52:08
2
Jsamwel :
huyu ndio angekuwa wazr mkuu
2026-10-10 12:10:54
0
Kalemela Instom :
tunamtaka doto awe laisi
2026-09-29 11:49:40
0
Kemmy Rwechungula Francis :
Ulitupa furaha tukasahau kabisa kero ya umeme.
Mungu atusaidie ktk majukumu yako
2026-09-02 10:29:19
1
enoswalwa :
sesesco haijawahi kutuangusha.
2026-08-26 16:34:41
1
Mama mshauri :
Mungu akutunze Biteko
2026-08-28 12:09:41
1
Hildagard Muganda :
huyu Dotto afikiriwe kwa nafasi kubwa kubwa serikalini. nashukuru nilimuombea nafasi Makonda akapata, vilevile Aggry Mwannry, sasa Dotto Biteko, nahisi naye atapata tu. nitakuwa nimembakisha Bashe.
2026-09-05 03:27:51
1
Emmanuel Lyabasega :
kiongoz anaepaswa kuigwa na viongozi wezie na wanaotaka kuwa viongozi
2026-09-05 05:26:44
1
Mama biteko OG :
Tunu y Watanzamia Mungu azido kumlinda na kumtunza
2026-08-20 05:11:54
0
mtegayuster :
kiongozi huyu yuko wapi jamani
2026-08-19 12:54:30
0
lazarolucka :
Kwili kabisa ni kiongozi
2026-08-19 19:55:52
0
benny :
kiongozi kweli kweli!!
2026-08-19 10:00:03
0
Blanka Mbwilo :
hakika
2026-09-29 09:54:53
0
j.r.deus :
Mungu Azidi kumrinda
2026-08-20 05:41:22
0
Mkg@12345 :
yeah
2026-09-26 20:26:30
0
fidausenmadege7 :
good
2026-09-27 19:21:01
0
penina moke :
Jemba katika ubora wake.Huwa nakuelewa sana hujawahi kuniangusha.
2026-09-29 13:36:57
0
Underson Sarah :
hongera sana
2026-10-10 13:05:06
0
Christina nonde :
tumaini lipo juu yako
2026-10-15 16:28:21
0
user5104991805322 :
Kweliii
2026-10-06 05:16:55
0
Wakumelekafugugu :
Uko Sawa Kabisa
2026-08-24 18:55:34
0
To see more videos from user @jmtkaziiendeleeetz, please go to the Tikwm
homepage.