@happymarket.tz: Period Cramps Relief Belt 🌸 Maumivu ya hedhi yamekuzoea kila mwezi? 😩🩷 Period Cramps Relief Belt ni mkanda unaovaliwa kiunoni na kusaidia kutoa joto/heat therapy kwenye eneo la tumbo la chini, hivyo kusaidia kupunguza usumbufu na maumivu ya hedhi. ✨ Faida kuu 3: • Husaidia kupunguza maumivu ya tumbo wakati wa hedhi • Hutoa joto linalosaidia kulegeza misuli iliyokaza • Ni rahisi kuvaa na kutumia ukiendelea na shughuli zako 🎁 BONUS: Kila mteja anapata chupa ya maji ya moto BURE! 🔥🫶🏽 📍 Tunapatikana Dar es Salaam – Ubungo Mawasiliano Stand 📞 0786 546 444 Usiruhusu period ikuzuie kufanya mambo yako. 🩷 #periodcramps #periodcrampreleifbelt #periodbelt #period