@kapama.jr:

ismaili ismaili
ismaili ismaili
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 18 August 2026 06:11:46 GMT
37299
1363
44
59

Music

Download

Comments

shedrackignas399
shedrack :
acha uongo iran ana u super power wowote
2026-08-22 08:39:35
2
ndoi_r
Ndoi_R :
Nini kinachomfanya Iran asishambulie marekani Moja kwa Moja Hali ya kuwa ana silaha za kuvuka mabara ( masafa marefu)?
2026-08-18 20:13:13
0
isayakessen
Khameney :
mbona nasikia uchumi wa Iran umeporomoka
2026-08-26 19:01:14
1
user10069223563412
fmaka :
Mungu yuko na Iran 🤲🤲
2026-08-19 01:15:46
1
allykaroli
ALLY KAROLI :
Kaka nakuelewa sana endelea kutujuza
2026-08-18 19:38:44
2
.ay.man53
ay man🥰🥰 :
Bro tarehe hatuzioni
2026-08-18 18:39:11
2
geremiajuma198
geremiajuma198 :
Venezuela irak libya 😭 🇱🇾 😭😭😭😭😭
2026-08-29 17:33:03
0
user41474751814262
user41474751814262 :
Ahsante kaka ila ulituwacha kwa mda kidogo,ulikuwa wapi kaka
2026-08-26 09:41:43
1
ibrahimeustadius
Ibrahim Eustadius :
kaka naomba kwenye vidio zako uwe unatuandikia tarehe maana mm sielew vidio ni zalin
2026-08-19 21:51:19
2
yasir.c
Yasir :
weka tarehe ukipost
2026-08-20 12:14:38
0
shenomy
Shen Omy :
hmmm
2026-09-06 10:56:07
0
user8431993055513
user8431993055513 :
asante kaka
2026-08-20 14:18:14
0
user2859574128052
djamila :
ishalah mungu atawapa nguvu wa irani 👍🥰haki yamtu haipoteyi
2026-08-21 12:56:12
1
alphoncecharles97
Alphonce Charles :
Asante kwakutujuza napeñdasana uchambuzi wako
2026-08-18 18:03:41
3
dotomtei
dotomtei :
Irani ashawazidi nguvu amerca
2026-09-05 18:27:03
0
karim.abdull3
Karim Abdull :
dah km allah atajaalia taif la marekani kushindwa ktk iii vita mataif mengne sote tutaishi kwa amn
2026-08-24 10:46:55
0
feisagym1k6
feisagym1k6 :
Iran kwanza anamuangusha marekani kiuchumi syo kama hawez kushambulia marekani na pia syo kama Iran Hana nyuklia marekani hajamshambulia marekani moja kwa moja anatumia nchi zilizo karibu na Iran middle est na Iran anamshambulia kupitia humo humo alipo ila kama marekani atashambulia kwa nyuklia utaona
2026-08-20 11:35:33
1
user13657930008166
user13657930008166 :
yes
2026-09-02 17:24:51
0
masaumsabi
MASAU MSABI :
dunia imebakiza na siku chache tunako elekea ni vita vya 3 vya dunia
2026-09-09 06:37:13
0
kakule.wasi4
Kakule Wasi :
date or fake news
2026-08-22 08:24:08
0
saly_salim
Saly :
kakak umeongea ukweli mkubwa
2026-08-19 11:33:48
0
hija.khatib6
Z.Traore :
Kwaiyo mwalim mafilnason kumbe wanapigana na mchwa sio? maana mchwa kujenga ni dk sifuri tu ukiharibu nyumba yao
2026-08-19 12:36:37
2
user512237069952
user512237069952 :
ilan ita chakaa
2026-08-19 19:59:53
0
user7969772481058
sen kila :
Iran super power aya bana na you kleni ni super power??
2026-08-18 21:34:04
0
To see more videos from user @kapama.jr, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About