dr wngu mpendw naomb unijib kuna ile inatokea baaz ya watoto wanazaliwa na mabaka meusi makubwa sehem za mwili wengine had usoni anakua nalo anazaliwa anakua nalo na halitok wla haliumi huku kwe2 znz tunasema et mwezi ukipatwa km unamimb ukijikuna unamuachia baka mtoto je ni kweli au itikani za wazee na sababu hasa hua ni nini
2026-08-18 07:18:51
1
Alain ngoy :
asante docta kwa mafundisho
2026-08-18 10:28:32
0
3586 :
sasa mwalimu mbele mwanamuke apite ku mwezi wake date gani anaweza beba mimba mbele aone
2026-08-19 13:13:35
0
Naar☺️ :
Apo mzunguko wa cku 30 baby boy ni cku gani kupata
2026-08-19 08:11:43
0
user80449304581410 :
mimi nilifanyiwa op mimba ilikua nje ya mfuko naweza kubeba nyingine baada ya mda gan
2026-08-19 10:23:07
0
mrs p❣️ :
hyo nyuma na mbele unahesabuj
2026-08-20 07:04:52
0
momy muneer OG👌 :
Vyote vitatu ninavyo yaan nikicheza vibaya tu mimba iyo apo
2026-08-20 04:50:52
0
user4225425475934 :
naomb unifanyie mznguko wa siku 32 dada naingia tareh 13 siku ya hatar ni hip
2026-08-19 11:24:43
0
user8838059079061 :
mm pirid napata trh 2 au tarh 29 sasa sielewi inakuwa vipi hivo
2026-08-19 10:50:35
1
Tahyia Ismail :
Mimi mzunguko wangu ni siku 25
2026-08-18 11:39:23
1
To see more videos from user @dr.jessy09, please go to the Tikwm
homepage.