@davidmnyankali:

@𝒉𝒆𝒂𝒓𝒕𝒎𝒆𝒎ö.𝒕𝒛🌹
@𝒉𝒆𝒂𝒓𝒕𝒎𝒆𝒎ö.𝒕𝒛🌹
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 18 August 2026 06:32:36 GMT
53371
2621
61
248

Music

Download

Comments

user8674015655495
Fatma said :
aliniita malaya niliumia sana nikaachakumtafuta atanitafuta ety alisema kwa hasira 😢😢😢😢😢
2026-08-18 09:13:59
3
cute.mideko6
CUTE MIDEKO❤💯💫 :
Alinambia Ko Ulijua Nitakuoa🥹🥹🙌Nashukuru Now Sina Hata Time Nae🙌💪
2026-08-18 18:58:54
1
felistar.antony
Felistar Antony :
kusahu ni ngumu 🥰🥰
2026-08-18 09:14:07
4
liliani168
Liliani :
na huwa yana ukweli ndani yake😅
2026-08-18 16:03:05
3
mamu08751
mamu :
aliniambia ananichukia sana😭😭😭
2026-08-18 11:30:01
2
joyce.mdoe83
Joyce gidioni :
kuelezeya sitamaliza 😭😭ila nakumbuka
2026-08-18 16:04:40
1
mariamuh.jacksoni
💓 mumy jay OG💓💖 :
sijui nilitaka niandike nn au bc acha nilie tu😭😭😭
2026-08-18 12:23:26
0
aisha.hussein560
Aisha 🇧🇮🇹🇿 ✨️✨️ :
Mi niliambiwa sina shap sina hadhi yakua nae saivi amekuka kuomba radhi nashindwa kusamehe jaman😢😢
2026-08-18 19:19:26
0
jasminmohammed299
Jasmin mohamed :
mimi aliniambia anajuta sana kuwa na mimi kesho yake nikamkera ili achukie zaidi aniache kabisaa lakin wap
2026-08-18 18:59:06
0
user6053996238020
user6053996238020 :
unanikumbusha maumivu
2026-08-18 10:07:43
0
lovenes.amosi
heart love :
mmh
2026-08-18 07:35:56
0
amosmtereko
𝔸@𝕥𝕣𝕦𝕖𝕝𝕚𝕗𝕖 :
yaaan acha tu🥺
2026-08-18 18:50:18
0
kanana0361
Caroline kanana 🥰 :
kuna brothers wangu wawili walinita malaya juu nilikua na boyfriend😪ety nimekonda and ikafika mahali wakasema ety nikona HIV wakiwa pamoja na mke wake 😭kuna siku nlishota maji kidogo nioge Gai akh matuzi nlipewa and wa leo sjawai saau alfu pia nlikua zina pesa ya kurundi job nliomba mamangu ata 1k akanitukana na saio nikiwa town nlikua namtumia pesa nlikua najinyima ndio nimpee😭
2026-08-18 18:03:21
0
valentinequardina
Valentine 🥰🥰🥰❤️❤️ :
Aliniita Malaya😭😭na akaniambia anacheat😭😭😭
2026-08-18 17:17:25
0
joysuzy4
Dada🥰Juicy❤️ :
aty niko na drama kama mtto after 3yrs leo ndo anaziona
2026-08-18 17:12:57
0
diana.prince233
Diana Prince :
nataman niikimbize status
2026-08-18 16:16:29
0
sally_jojostone81
sally _jojo stone 👕😍 :
Mm niliambiw sikuiz simjal Tena na ana rafiki yake mda wote anataka kujua hali yake hta kabla yakwenda kazini 😭😭hii cwez sahau kamweeee🙌🙌🙌
2026-08-18 19:47:13
1
triciecute
triciecute❤️ :
Naombeni kiti nikae mm jaman 🙌🙌🙌🙌
2026-08-18 19:48:33
0
hijrah9379
mamake Nihal :
alinambia nazeeka nitafute bwana🤣 napata wakumzid kimaisha anakuja haribu et hasira nimsamehee
2026-08-18 18:25:24
0
rehemaismail8590
rehemaismail8590 :
aliniambia anipendi na anamwengine bahad ya miez mi 2 ananitafta anasema akuna kamim ninashindwa kumujibu chochot naishia kulia tuu🥲🥲🥲
2026-08-18 16:29:54
0
elicymerry
elicymary :
sjasahau Bado nimeyahifadhi
2026-08-18 08:04:22
0
To see more videos from user @davidmnyankali, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About