Msioelewa maana yake ni hii:
Nunza anaiva nene nunza sivandema-nitawatunza watoto hawa mimi,nitawatunza hawatanishinda
avana vakiva kumbatilage-watoto yatima wakumbatie,watoto yatima wakumbatie ...
udadao afwile mulugendo-baba yao alikufa akitafuta maisha,
mashemeji mpokite avana msinzile mama,mlawona pe ndivemba ndaiwona mutima wivava- mashemeji mmewanyang'anya watoto mali zote mmemaliza,mnaona navyolia,naona moyo unaniuma🥰
2026-08-18 08:57:01
42
Officialyukimadeey1.1🦋✨ :
Hayaaa twende tuduve vahehe. Twinomee hela idunia hii ina mambo mengi sana@
2026-08-18 13:51:16
15
tallyboe... :
traditional🔥🔥🔥🙌🏾
2026-08-19 12:55:44
1
Mabiki002 :
duuuuh hatimaee Iringa naipata kwako
2026-08-18 07:40:53
5
irene letusi 💕 :
wahehe tupo jamni huku🤣
2026-08-18 18:17:17
4
Asnath kalinga :
kwaheshima ya wahehe wotee
2026-08-18 18:12:53
6
sammy girl :
party 2 please please please 🙏 😢 umeon adi nimeongea kingeleza😂😂
2026-08-18 20:23:15
2
Tina Tz :
maanake nn kaka rama napenda sn kujua rugha yangu iyo
2026-08-18 06:50:45
1
Bety Chamame :
ahsante mimi kuzaliwa Iringa ninzawadi🥰
2026-08-18 14:19:46
3
shine@designer21 :
Tuliodua wakati tupo kitandani
2026-08-19 18:24:13
1
king kopa :
mbali na nyumbani ila unafanya nijihisi nipo isimani big up sanaaaa zao la kihesa sec
2026-08-19 04:17:19
1
betina :
jaman natamani niwe na hizi nyimbo lkn sijui lugh yangu🥹
2026-08-18 07:36:01
3
aplenayzer :
hiii nyimbo nkisikia lazma inilize
2026-08-19 16:16:25
1
roselyn@27 :
nikooo hapaaa sekalinga 🥰
2026-08-20 13:20:46
0
catty🦋💕 :
KAMWENEE❤️👌
2026-08-20 07:10:52
0
#HEHE_BOE❤️ :
❤️❤️❤️❤️sivandemaaaaa
2026-08-20 10:38:03
0
zabang :
daaa huwimbo
2026-08-19 19:21:23
0
Tina Tz :
sawaa asant
2026-08-18 07:15:18
0
jjbabies5 :
Tunaojivunia kuwa wahehe like hapa
2026-08-18 13:02:16
10
Recho Lubida🥀💯 :
wimbo pendwa wa mama angu baada ya baba yetu kuaga dunia
2026-08-19 12:04:26
0
issakajohn :
nilidua mpaka miguu ika vimba😁😁
2026-08-19 16:00:59
0
furahin :
umewaza Nini jamani 😱😱😱😱😱
2026-08-20 13:55:14
0
misskariakoo :
part 2 nitag
2026-08-20 13:05:49
0
malaikha 🥰 :
🥰🥰🥰🥰🥰
2026-08-18 11:47:39
1
Southern killer🗡⚔️ :
asante
2026-08-18 08:07:49
0
To see more videos from user @ramarjr7, please go to the Tikwm
homepage.