Nilisema waleykum salaam baada ya kusema Salam aleykum🥺🥺
2026-08-18 17:27:07
0
chicky_official :
nilicheckout mcity
2026-08-18 15:06:48
0
Eche :
me nilimwambia mtu I love you too badala ya kumwambia Asante me I don't care 🤣🤣😂
2026-08-18 12:46:48
2
Osaky The Great O.T.G ✍︎ :
✍︎ can I get someone to talk to me urgently depression is killing me 🤯
2026-08-18 16:55:39
0
fryday abh :
nilifika home nikaita dukani
2026-08-18 13:41:51
26
Bīlø Mtëmbéz :
nilisoma alhamdu kwenye attahiyatu.😂😂😂😂
2026-08-18 10:48:46
23
Erick msafi :
BABA YANG ALIONA NAMAWAZO AKANIULIZA NN KINA KUSUMBUA NIKAMWAMBIA BABA UKIKUA UTAYAONA 🤣🤣🤣
2026-08-18 11:35:01
23
Kaskasy Jr :
me kuna mtu alinigonga na baskeli akaniomba msamaha nikamjibi SINA 🤣🤣🤣🤣
2026-08-18 12:25:09
48
Moslecious _TZ :
Niliamkia shkamoo nikajiitikia mwenyewe marahaba had niliyemsalimia akanishangaa 😅
2026-08-19 16:47:29
8
cellarliquor :
nilitumia tochi yangu ya sim kutafuta sim yangu badae ndio nakumbuka kumbe sim ninayo mkononi
2026-08-18 14:47:38
65
Hawa mnoile :
nili mwamkia mtoto🤣🤣
2026-08-19 16:48:09
5
Veronica Mabuba :
nilitoa betri kwenye simu ili niingize vocha
2026-08-18 15:59:06
19
barakah Ayoub :
me niliambiwa Bwana yesu asifiwe nikajibu ndiyo😂😂😂
2026-08-19 19:01:02
2
star💫girl❣️❣️ :
Nilisalimia mtu shikamoo alafu nikaitika mwenyewe marahaba😂😂😂
2026-08-18 21:34:37
10
Kidi Fayzoh :
nilitenga chakula afu nikanawa nikaondoka nikizani nishakula
2026-08-18 08:56:29
10
YOHANESS SANGA :
niliingia chooni af nikasahau nafanya nini na nimeshika kikombe cha maziwa
2026-08-18 08:17:25
5
recho912 :
nilienda chooni kukojoa nikavua nguo zote
2026-08-18 17:16:15
8
💕it's nancey💕 totoh :
nilivua chup nikaiwek kichwa nichuke sabun
nishachukua sabun chup yng siyon nikatok
mpk sebren naend zang kuog bila chup s nikakuta
baba na marafk zak sebrn baba alinifokea🥺🥺
2026-08-18 12:20:52
7
Fetty Nina :
me niliambiwa asalam alleykum nikajibu sawa nikaulizwa sawa nn chakujib sina
2026-08-18 08:36:19
7
Erick Tumain :
nilikuwa nimeshika not 10000 huku naongea na simu sikion baadae niliweka simu mfukoni not 10000 nikaweka sikoni
2026-08-18 20:32:31
1
Desperado :
Mimi niliwahi vua viatu wakati napanda boda boda
2026-08-19 09:29:41
2
tekrapaul :
Kuna Mzee qlipita badala ya kusema shikamoo nikamwambia marhabaa 🤣
2026-08-18 14:44:54
3
getruda :
nakumbuka nlikuwa darasa la tatu nlivomaliza kula badala nimwambie bibi asante kwa chakula nkamwambia shikamoo😆😆😆😆
2026-08-18 16:41:33
1
To see more videos from user @afrokid_bx, please go to the Tikwm
homepage.