@cawabemedia_: Mwanasheria na mwandishi nguli wa vitabu Prof. Abdallah Safari anasema yeye na wenzie waliotoa wazo la kuanzishwa kwa Law School of Tanzania hawakutegemea kwamba ingekuwa ni sehemu ya kutesa wanafunzi kama ilivyo sasa badala yake waliamini itakuwa ni sehemu ambayo wanafunzi wa sheria watajifunza kwa vitendo zaidI. Video kamili ya mahojiano haya inapataiikana katika chaneli yetu ya YouTube #cawabemedia

cawabemedia
cawabemedia
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 18 August 2026 07:20:03 GMT
3966
83
0
5

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @cawabemedia_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About