unaeza kua unapambania mtu sana .na ukaonesh na matendo ila usaliti ndio mwingi mwisho wa kilakitu
2026-09-19 08:38:36
0
blackcute :
🔥🔥Point
2026-08-18 10:56:08
4
mary :
nliachana na boy mmoja huyo niliibiwa vitu vyangu gheto sa nikamcall yye wote tulikuwa mbali na huo mkoa yani ila tu nliomba apigie rfki zake waniamishie vtu vilivyosalia kwnye gheto la rfki ake coz lake lilijaa hela natoa mwenyew ya usafiri😂😂😂😂aligoma alisema yupo busy yan kupiga tu smu kuwaomba masela zake alijb yupo busy npmbane mwnyewe😂😂😂after hapo nikamuacha sku hiyo hyo tunarudi mkoan hapo anakuja gheto namfngulia nikamwmbia yule dada amehama sio mimi 😂😂😂
2026-08-20 12:07:09
3
ayaga kajumulo :
tatizo ukimpania akipata anakukimbia nao ndo wametuba dilisha ss
2026-08-19 16:22:02
1
💯💢💕feiy💕💞💓💯 :
unapoint sn
2026-08-18 09:34:02
3
mzamiru matata chalo :
kaka uko vizurr sanaaa umeongea pont
2026-08-18 15:58:06
5
my only :
mbon me nampmbia alf anipend
2026-09-29 09:15:37
2
Dally Beauty stylist🦋 :
utamtowa wapi🤣🤣
2026-09-13 11:39:29
0
@maryam :
fact
2026-08-18 14:29:50
1
Zuwena Twaha :
kabisaaaaa
2026-08-18 18:22:01
1
qomeil :
kweli kabisa kk daaaa
2026-08-20 18:27:44
0
dogochodo1 :
nice
2026-08-18 17:52:52
1
Mr.Gax :
Fact 💯
2026-08-18 20:53:47
1
mrs. no body🧸 :
kabisaaaaa 😅☺️
2026-08-18 14:07:41
1
Rose :
kwel kaka
2026-08-30 20:22:09
0
sweet🌸 :
Nilishawahi mpambania uyo kaka ila basi me nimemuachia mungu bhn
2026-09-25 18:16:05
0
MISS VALLEY :
nmemmis wallah mmasai wangu
2026-08-18 13:10:38
3
Babe Missah💸 :
hakuna wakkupambania kabisa
2026-08-18 20:21:00
2
Femme de la foi 🔥🔥🙌🙏 :
20/20
2026-09-23 06:25:10
0
𝓨𝓸𝓾𝓷𝓰𝓫𝓻𝓸𝔀𝓷 :
😳😳😳
2026-08-18 07:34:47
2
aneth Fredrik moga :
👊
2026-08-18 15:44:45
1
To see more videos from user @chidu.facts, please go to the Tikwm
homepage.