@mwaipaya_: WANAOTAKIWA KUWA OFISINI WAPO MTAANI NA WAOTAKIWA KUWA MTAANI WAPO OFISINI. Dereva wa lori Elias Jonas anayesubiri kupakia au kushusha mizigo katika Bandari Kavu iliyopo eneo la Mchicha, Sandali Temeke Jijini Dar es Salaam ametaja changamoto wanazopitia. Jonas ameraja tatu ikiwemo mrundikano wa mizigo mingi kupita uwezo wa kuhudumia, suala la Rushwa, pamoja na huduma ya choo.
Nan mwingine amesikia sisi wote tunaichukia serekali ya jamuhuri ya muungano
2026-08-18 09:33:45
454
myovela dracula :
Brother wa Mbeya kabixa
2026-08-18 17:15:45
0
Godfrid Ze kinglove 👑❤️ :
hakika wanaotakiwa kuwa ofiini wako mtaani na wanaotakiwa kuwa mtaani wako maofisini🤣🤣🤣🤣
2026-08-18 13:04:26
84
Kanyita Peanut Butter :
Big up broo dereva
2026-08-18 17:45:25
0
Man Utepe759 :
Elia classmate
2026-08-18 11:49:39
0
TechDriverTz :
Ukitoa Doctor Nadhani Dereva Ndio mtu pekee ambae akili yake iko active toka anamaliza masomo , akiwa kazini na hata akistaafu I'm very proud of this professional 👊
2026-08-18 10:13:03
140
kiddy payet :
Man at work
2026-08-18 16:52:44
0
EMMA STAR 🌟 :
Watu wanaakili
Kuliko wanao tuongoza hilo ni uhakika
2026-08-18 08:35:40
95
BABA SWEET :
sisi wote tunaichukia serikali 🤣🤣watanzania wamechoka kweli
2026-08-18 11:27:54
39
allynongwa385 :
msemaji wa madereva awezi kumwaga nondo izo
2026-08-18 12:28:01
37
prince👑👑 :
mwananchi kama mkuu wa mkoa🥺mkuu wa mkoa kama mwananchi wa kawaida
2026-08-18 12:47:29
26
𝗚𝗜𝗩𝗘𝗡 :
Dj shikilia hapo hapo kwenye kuichukia serikali ya muunganiko😂
2026-08-18 11:12:51
38
seif s gamanywa abagenzi :
hongera sana kijana kujiamini nijambo lamsingi
2026-08-18 08:55:36
23
Sambuo kweka :
huyu alitakiwa amemsemaji wa madereva wa malori
2026-08-18 09:55:23
11
Shakiru Dauda :
Tujitahd sana kila atakayehojiwa amalizie point yake kwa kusema wote hapa tunaichukia serikali ya Tanzania
2026-08-18 12:25:54
7
merinankullua :
Mwenda zake alikuwa amepanga vizuri sana kwa kujenga kule vigaza na alitaka Malori yaishie huko yasiingie mjini,alivyoondoka watu wameamua kujiamulia ,mjini sasa hivi kila kona ni bandari kavu ,wenye hela zao wameweka bandari kavu mpaka maeneo ya jeshi ,nenda Zakiem kaangalie ,labda ni vituo vyao wakubwa ndio maana wanaruhusiwa kuweka kila kona.Kwa mtindo huu foleni Dar haitakaa iishe
2026-08-18 12:26:59
9
MRs STEVEN♥️🦋 :
harafu hii ya Magari Ma bus kuishia Stand ya Magufur mtu unakaa chanika mwisho na umefika na Gari saa 6 usiku inakuaje boda stand ya Magufur had chanika ni sw na nauli ya Dar moshi
2026-08-18 11:13:59
8
Athumani :
umeongea fact ila serekali yetu hawapendi ukweli
2026-08-18 10:13:35
12
M23 :
iv🤔alijibiwa nin baada yakumaliza kuongea
2026-08-18 09:01:38
5
Star JR :
kaongea ukweli kbs huyu suka
2026-08-18 08:52:36
8
baba paroka :
zungumzia hoja, sio kumtukana mkuu wa Mkoa.
2026-08-18 13:02:45
1
tms :
nimependa alivyosema wananchi wengi wanaichukia serikali ni kweli mimi pia naichukia sanaaa
2026-08-18 17:22:44
2
jawadu b.kijuu :
mwamba nampa respect sana anatufaaa mahali flani hv ila acha ninyamaze
2026-08-18 15:10:53
3
To see more videos from user @mwaipaya_, please go to the Tikwm
homepage.