@mo29tv: WANAOTAKIWA KUWA OFISINI WAPO MTAANI NA WAOTAKIWA KUWA MTAANI WAPO OFISINI. Dereva wa lori Elias Jonas anayesubiri kupakia au kushusha mizigo katika Bandari Kavu iliyopo eneo la Mchicha, Sandali Temeke Jijini Dar es Salaam ametaja changamoto wanazopitia. Jonas ameraja tatu ikiwemo mrundikano wa mizigo mingi kupita uwezo wa kuhudumia, suala la Rushwa, pamoja na huduma ya choo.

MO 29 TV
MO 29 TV
Open In TikTok:
Region: KE
Tuesday 18 August 2026 07:26:02 GMT
51267
2874
97
105

Music

Download

Comments

mudimach2
Mudi Mach :
RESPECT
2026-08-19 02:03:49
0
drack2s
Shedrack :
Safi Brother.
2026-08-18 10:19:59
2
maejor_ally
Adnan R331 :
Wise man
2026-08-18 21:57:12
0
bonifasekitomari3
Bonifase Kitomari :
heard Man City ☺️
2026-08-18 18:36:52
0
emmanuelkahamba93
[email protected] :
Big up bro umetutetea madereva
2026-08-18 08:57:09
3
0793159597immuofficial
IMMUHDREEZY :
fact sna bro🔥🔥
2026-08-18 12:00:58
3
bilingijuniortz
bilingijuniortz :
Mfano mim nikiwa ndio chalamila nikijiengua nafac yang nikimpa huyu jamaa maana ana hakili sana kumzid chalamila mwenyew😁😁
2026-08-18 10:33:23
21
hafidh8098
hafidh :
uyu anafaa kua kiongozi wamadeleva wote
2026-08-18 17:03:34
5
babashangwe
Baba shangwe :
viongozi pia wanauelewa ila wanakaza fuvu kwasababu wanalinda ugali kuliko nchi yetu
2026-08-18 09:39:54
4
kaisamwalyosi
Kaisa :
mmmmh wew jamaa waw umesema maneno mazuri sana kk
2026-08-18 12:28:27
3
david.michael7170
David Michael :
fact
2026-08-18 11:31:03
2
farida77516
FAN :
kulikuwa na haja gani ya kuweka mi sound hiyo baada watu tusikilize maneno ya maana
2026-08-18 09:48:40
12
hanscanhassan243
AIMANY HANSCAN :
kaka umeongea fact sana braza ujaficha kitu
2026-08-18 16:06:37
1
hazard.ally
HAZARD ALLY :
amin kaka
2026-08-18 11:59:59
2
sakinajumanne686
Sakina Jumanne :
umeongea ukweli mtupu kaka
2026-08-18 15:26:13
1
user9894353062636
ally eliamini :
fact mkuu
2026-08-18 13:50:23
1
user983739360776
antory martini :
kaka asante kwakusema ukweli
2026-08-18 12:23:08
2
johnson.mahery
@Johnson Mahery :
Kamaliza
2026-08-18 12:30:28
2
chapchaaliy
zuberi momba :
Kwan kuhama ii nch unabonyeza ngap
2026-08-18 15:41:20
1
kebwe.kebwe
Kebwe Kebwe :
dereva heshima yako
2026-08-18 16:14:47
1
ramflo01
ramflo :
huyo jamaa ni askari pia
2026-08-18 13:09:19
2
user7214197663520
OSCAR MUSSA JUNIOR :
nimesikiliza mara mbili kuelewa maelezo yako na ushauli kwa mkuu wa mkoa
2026-08-18 11:34:42
5
salumumgelwa1
salumumgelwa6 :
safi
2026-08-18 10:29:19
2
ssalehjuma
ssalehjuma :
kaka Angela Sana mkuu 🫡🫡🫡🫡
2026-08-18 12:31:21
2
draxyah
draxford lakred pro max :
nimeingia kwenye comment nilitaka kuona watu wapumbavu wazee wa kukosoa wenzao ila Leo nimeona tofauti kabisa yani wame comment wenye akili tyu safi
2026-08-18 12:04:34
6
To see more videos from user @mo29tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About