@neoagriculturemachinery: PLUCKER MACHINE Hii ni machine ya kunyonyoa kuku Inatumia umeme wa single phase Inanyonyoa kuku 4,kuku 6 na kuku 10 kwa dakika Moja Hizi ni machine za kisasa Zinasaidia sana katika urahisishaji wa kunyonyoa kuku Zinafaa sana kwenye biashara kubwa mawasiliano 0693761024 #plucker#millionviews #flpシ #tiktokviral