@bando_tz: #bandomc #trending #music #emotionalsong #enjoy

bando_tz
bando_tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 18 August 2026 07:35:30 GMT
75042
7843
95
89

Music

Download

Comments

josephjofrey190
Joseph Jofrey :
nakukubali sana kaka
2026-08-18 15:16:44
2
christianmligo773
Christian Mligo :
demu table ya zero hahahha🥰🥰🥰
2026-08-18 14:15:42
0
dottosagala
unclejamaa :
Yaani bao lakwanza nilimmwagia masikioni Ili asiwasikie wengine lakini mwezi aliopita akaolewa na mwingine dah 😭 😭
2026-08-18 13:13:42
14
juma47470
juma :
inaitwaje hii nyimbo
2026-08-18 13:01:38
4
de_bando3
A de bando :
daaaaa nakukubalii kk
2026-08-18 11:17:10
3
movicjocks
movicjocks :
we ni hatari mwanangu bando
2026-08-18 16:32:33
3
user4284600469619
Allindà Antony :
Amna utakapo jua wingi wawanawake ukowapi nauchache wao ukowapi Bax uta enjoy
2026-08-18 10:38:05
3
davie_damssey_official
Davie Damssey🇨🇩🇺🇬✅ :
mupe nafasi kontawa ao stamina itakuwa kwenye level ingine ila wemkali zaidi ya mkali🥰🥰🥰💯💯💯💯
2026-08-20 06:46:23
0
madejnr2
MADEDA Jnr 💥💥 :
Bluetooth yako inakonect kila nyimbo noma sana 💔💔😌
2026-08-18 07:38:54
3
user8455861598199emiry
EMIRY JR :
vp kaka huu wimbo ushatoka
2026-08-18 16:34:49
1
deejaydully_tz
mkatili :
noma
2026-08-20 06:47:01
0
user4584596912507
Isack Ngonela :
nyimbo inaitwaje
2026-08-18 11:18:40
1
alexthedonn007
Alex thedonn :
iachiee iyo ngoma kak
2026-08-20 05:12:58
0
user7961333944549
Predator :
unajuwa kaka
2026-08-19 17:36:44
0
baraka.andrea31
Baraka Andrea :
😂😂😂😂😂kaka unajua saaana daaaah imenigusa saaana hiii ngoma inaitwaje nikai danilod
2026-08-20 04:15:24
0
patrickgenius0
Patrick genius Tz... :
wife yko ina connect Kila nyimbo mama
2026-08-18 12:09:16
0
zarah..org
IT'S chaula👑 :
huuu ndo mstari pemdwa kwangu
2026-08-19 22:25:15
0
madejnr2
MADEDA Jnr 💥💥 :
unyama bro nitag
2026-08-18 07:37:53
1
juscarfataki1
@Juscar fataki :
mupe vrse ya pili kontawa auweeee🔥🔥
2026-08-19 12:51:58
0
denty318benjamin4
Dentybenjamin :
Oya bando hii vesi Noma bhana
2026-08-19 09:49:39
0
elia.george83
Elia George :
💪
2026-08-20 05:00:33
0
user93182856559275
shukey og :
hyo ujue ni 2story
2026-08-18 21:34:48
1
mr_l230
💎*MR*_CÖNCLÚSÏÖN💎 :
kwanini CCM ,?
2026-08-19 16:37:12
0
ramsomaunyamwez
Ramso Maunyamwez :
kaka iyo goma inatwaje mbna noma san
2026-08-19 17:11:46
0
its.password_
Password :
Njaa kaka 💔😭
2026-08-18 07:38:45
0
To see more videos from user @bando_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About