Mzee I salute bro. Umenyooka hata rula haijanyooka
2026-08-18 15:26:15
3
𝐁𝐑𝐎𝐖𝐍 𝐌𝐋𝐄𝐋𝐀 🇹🇿 :
kuanzia leo ww ndo mkuu wa mkoa
2026-08-18 18:31:55
12
Samuel _pachau :
Mwamba anawapa elimu na kuwakumbusha majukumu Yao
2026-08-18 09:38:40
64
M V A X K :
mhehe mmoja huyo safi sana bro
2026-08-18 16:28:01
16
DEEZ___46 :
fact brooh
2026-08-18 10:19:01
0
malume MZ :
kwa sisi madereva uyo ndo Tanzania One wetu
2026-08-18 17:04:05
23
side 12@ :
God broo
2026-08-18 16:40:02
0
mbwilo god :
ila tunaomba uyuu dereva asipoteee maanaa 🤣
2026-08-18 10:28:09
34
alani mayande :
timam mwamba
2026-08-18 17:47:14
0
@S5opn :
big up bro💪
2026-08-18 12:11:36
0
Ally ramadhani :
kaka kwae shima nakubali
2026-08-18 18:22:02
3
Mr BUDA :
Mh. MAGUFULI alitaka kuitoa hijo jam Dar marol yakafate kontena MORO yasafirishwena TRENI Sasa sijui toka mungu ampende hilo wazo limeachwa🥺🥺🥺🥺🥺 WAPI?
2026-08-18 17:15:37
7
Rukia :
mkuu wa mkoa wetu ni msikivu na umeelewa kaka yote ninaimani yatafanyiwa kazi
2026-08-18 09:01:49
11
#Kijiko :
kiukweli mnaonaga madereva wa malori ni watu ambao hawajasoma ila ni watu wenye akili kubwa sana💪
2026-08-18 17:57:36
2
Abasi Mdudu :
Duuh umetisha sna kaka
2026-08-18 17:38:06
0
mama choroo :
Huyu Broo alindwe ni hazina ya taifa 🔥🔥 point kubwa sana kaongea na tunahitaj nafasi ya kujieleza kama hivi pasi na kuletewa noma tunahitaji viongoz wasikivu kama Huyu mzee alivyompa nafasi mwamba bila kuletewa noma ....
2026-08-18 11:06:06
11
Edson Cavani :
kule njia ya morogoro si magufuri alitengeneza bandari kavu
2026-08-18 11:05:19
2
Johnmhina :
Tatizo hapo sandari hakuna ata vyoo madereva wanakojoa hovyo kibendera anajiamuaria awepo asiwepo serikali fanyeni kweli
2026-08-18 18:52:45
1
Nullahmed Nullsaid :
hongera sana mdogo wangu kwq kunyooshaa maelezo
2026-08-18 18:44:56
1
Ayubu Msindo :
fact sana jamaaaa daaaaaaa😂😂😂😂
2026-08-18 10:59:38
0
Rashidy. agustino :
kwer hakuna sehemu yakupaki muheshimiwa twende wapi sasa
2026-08-18 15:55:35
1
Michael Lazaro :
Dereva wa Lori wengi wao Wana Akili Timamu ,Mjukumu walio nayo na bado wanaendesha Gari ,Cheki Jamaa anavyo wapa Madini hapo
2026-08-18 17:56:34
1
To see more videos from user @_officialseba255, please go to the Tikwm
homepage.