mie kabisa et mdogo wang aniambie hanipend nilie ninawazim silii hata kidogo na mm na mwambia sikupend vilevile
2026-08-18 10:19:21
544
Mrs💍🌸Isdory :
Mbona kama anahisia sana
2026-08-18 11:21:40
202
NAWAAL💞 :
ata mimi mdogo angu akiniambia anipendi ..nalia vizurii tu
2026-08-18 09:29:17
351
Deborah 🥰🤩 :
Sipendi nalia alaf mtu ananicheka😂😂😂
2026-08-18 09:52:33
156
🫠Rainbow pfp...💯 :
shoni ..... that's your sister even if it's a dare 🥺🥺
2026-08-18 12:02:13
20
Khamomi_19 :
Kwani vlog zinasaidia nin
2026-08-18 11:18:42
119
ANILLIYYAH❤️ :
Afu Kuna Mimi nikilia Domo lote linachanuka mpaka Kilimi kinaonekana ukifanya masihara unaweza kuona Chango Zangu kupitia mdomo wangu sina dogo 😅😂
2026-08-18 13:50:10
48
ummu Ahyan😍 :
Woiyeee crying baby🥰
2026-08-18 18:23:03
0
sweetbutsavage45 :
Kusema ukweli Paula amekua sanaa baada ya kumzaa Amarah she so loving nampenda sana
2026-08-18 13:46:34
112
angelyker🥰 :
she is too emotional jamani🥺
2026-08-18 14:44:28
0
I'm siti :
kwani shoni ni ndugu yake ki aje
2026-08-18 18:29:28
10
Ms_renee :
Ilianzaje ikafika hapaa
2026-08-18 11:40:14
15
Reeny♏️🌸🌸 :
Cancer signs are so emotional.♋️🥹
2026-08-18 15:02:01
0
🎀waah🎀🧕 :
kwani kajala anawatoto wangapi mi mgeni tz am from Tanzania👀
2026-08-18 14:49:03
15
Glory myrosh +255 615 902 078 :
Yaan me mtu akinmby hiyo analia ukweliii..ndo nazidi kuliaaa😁😂😂
2026-08-18 18:50:10
5
Debora Mussa :
Pole sister
2026-08-18 16:34:29
0
official jack :
ila shoni na paula wanaonekana wanapendana sana🥰🥰
2026-08-18 13:00:54
15
penny :
Nampenda mama amara na bibi amara sioni baya kwao ata siku wakivua nguo watembee uchi bado ntasema wamependeza ni wazuri na nawapenda sanaaa sioni baya kwao Mungu ailinde hii familia nawapenda wao na makaburi ya kwao na vifaranga vyao❤❤❤❤❤
2026-08-18 09:42:19
121
mom cute💝 :
kwani vp nn kinaenderea sijaelewa chochote wanangu😂
2026-08-18 11:51:37
18
neema robati :
Kwan uyo mario achan nae
2026-08-18 08:44:26
22
nasrahbaby :
paula una moyo mwepesi kpnz wa kuumia kama mm pole dear
2026-08-18 11:00:45
27
Naima__beauty 🎀 :
2026-08-18 09:49:50
19
iren rich 💝💗🩵🩵 :
kwanin
2026-08-18 08:18:05
71
To see more videos from user @paulahkajala26, please go to the Tikwm
homepage.