ndugu mbona kama unasema uongo katika ufahamu wa unacho sema aya unayo soma inaonesha kuwa makafiri walikuwa wakiwaambia waumini laukana ingekuwa kheri basi hawa madhaifu wasinge tutangulia kwamaana sisi tungekuwa wakwanza kuifata LAKINI UNAO WAITA MAWAHABI WAO WANASEMA LAU INGEKUWA KHERI WANGETUTANGULI WEMA WA UMMA HUU (kule makafiri wamekanusha kwa kusema wasingetanguliwa, na unaowaita mawahabi wanathibitisha ingekuwa kheri basi wema wangetutangulia)unao waita mawahabi hawatumii aya hiyo kuwa muadilifu hatakama unawachukia lete ukweli wa maneno yao.
2026-08-19 12:47:09
0
Esi Money 💰 🤑 💸 👌 😎 :
🥰🥰🥰
2026-08-18 09:52:53
1
To see more videos from user @sami.mashrabu, please go to the Tikwm
homepage.