@farhiyah1:

farhiyah1
farhiyah1
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 18 August 2026 08:28:57 GMT
15609
847
85
89

Music

Download

Comments

fortunatusmliande
www.im-mining.com :
I love your Energy ❤️🌹❤️
2026-08-24 15:02:31
0
oldschooldude101
Oldschool DUD£🇹🇿🎤🎧🎻 :
Marijan Alistahili Kuitwa Jina La JABAR LA MUZIKI haswaa , hawajakosea...Kwa Tanzania Lilikuwa JABAR kwelikweli....
2026-08-19 06:13:34
3
francis.mboto.mru
Francis Mboto Mrutu :
Stunning beauty
2026-08-18 10:27:12
2
mwenda949
Mwenda :
keep it up
2026-08-18 13:31:06
1
hassan.kasenga
Hassan Kasenga :
itabidi nasisi wakongwe tuanzishe miaka 50 ya muziki wa dance🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-18 20:10:20
3
tracymalya3gmail.com
Tracy :
😭😭😭😭😭😭Dah nyimbo zote unaweka marehemu mama yangu Amina ramadhani alikuwa anazipenda sana,,
2026-08-18 08:36:05
2
call.me.warda6
General marijan :
marijan Rajab wakati wa uhai wake akiwa na Dar-international
2026-08-18 11:00:57
2
chumuamurichumu
Chumu amuri Chumu :
nakumbuka miakaile mwishowamwezi ukifika
2026-08-18 18:44:47
1
rizikisudimwakwam
rizikisudimwakwam :
its true definitely
2026-08-19 04:14:22
0
user7844452754816
user7844452754816 :
bado nazipenda sana
2026-08-18 15:00:48
1
mwajuma.hamdu
Mwajuma Hamdu :
umependeza mashallh umenga uzri
2026-08-18 15:51:38
1
magingila.junior
Magingila@2025 :
Jabali la muziki nchini..safi sana dada kwa kumwezi kwa vitendo
2026-08-18 10:25:19
2
moses.awiti73
Moses Awiti :
I like that type of music
2026-08-18 17:17:58
0
janetkagendo537
Janet Kagendo :
2026-08-21 05:27:56
0
jinxjuniororiginal
Jinx Junior Original :
Marijani Rajab Baba angu alikuwa akipenda sana nyimbo zake,Mola awaweke pema kuliko na Wema.......Utaniliza Sister.
2026-08-19 18:19:03
0
user236876124630
user236876124630 :
samahani naomba yako inopokea pesa plz
2026-08-18 19:56:32
0
purepemba
MKJA :
Jamani nifanye nini oooh nifanye nini naelewa mazoea aaaah yanatabu lakini nitajitahidi kusahauuu…… niimbie basii huo wimbo
2026-08-19 05:44:18
0
tracymalya3gmail.com
Tracy :
weka na ile kasungu seasea ainanikumbusha mbali sana,,pumzika kwa amani mama ang,,,miaka 24 sasa
2026-08-18 08:37:08
0
limpopoantojackot
Limpopo Anti jackodhonya :
Tuletee Dunia Msongamano na Safari Sounds.
2026-08-23 19:04:16
0
mohammednassor275
Mohammed Nassor :
Wee mama wee ! Wengine utatuliza Jamani. watukumbusha Yasiorejea tenaaa !!!
2026-08-19 10:54:52
1
dulla454
dulla454 :
dada unatukubusha zamani sana
2026-08-23 13:25:05
0
mariamkitundulyan
MariamK :
Kwakweli umeamua kutuburudisha wahenga Asante sana
2026-08-22 18:03:10
0
user380661972000
0788434569 :
unusual sana my
2026-08-22 19:31:35
0
user1520672266600
Yusuph Rajab :
pole kwa yote
2026-08-22 08:14:18
0
georgeondari4
georgeondari825 :
salamahaleikum ama kweli ujana ni Moshi nakumbuka babangu Marehemu na kijiradio cha mbao , eish Wacha TU👋👋
2026-08-21 07:24:54
0
To see more videos from user @farhiyah1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About