@kuku_chapchap: Rasmi tumefungua oda mpya ya vifaranga wa Layers 05/09 bei ya kifaranga ni sh.3,500. 📍Tunapatikana Dar es salaam, Pugu. Call/SMS/WhatsApp: +255 719 882 004 Follow: @kuku_chapchap #sisindiosuluhisholakukuwako #kukuchapchap #layerschicks #layerscage #layerschicks
Kuku_Chapchap
Region: TZ
Tuesday 18 August 2026 08:30:40 GMT
Music
Download
Comments
kadenguelinopedrokadengue@gmai :
munapatikana wapi
2026-09-04 14:27:26
1
user2261628983372 :
Jaman hiz bei tunatoboa kweli
2026-09-04 18:29:39
1
Iryfan :
mikoan mnatuma au
2026-08-26 09:25:45
1
florajiliwa86 :
mnaweza kusafirisha niko mwanza je vitafika salama
2026-08-22 16:20:51
1
Mama kama Mama :
mnapatikani wapi na jee mnakuwa mmewapa chanjo?
2026-08-19 18:03:44
1
consolata :
mpo wapi mimi nipo singida
2026-09-03 10:09:49
0
rambo :
bei gali sana
2026-09-02 08:42:00
0
mary@fm :
Kwa mwezi wa kumi Bei ni hiyohiyo
2026-08-22 11:47:17
0
Life Ya Omera :
Hawa hyline ni safi Sanaa....
mnauza Kuanzia vifaranga wangapi?
2026-09-02 17:09:12
0
Mama J5 :
kwa sisi wa kigoma tunawapataje jamani
2026-08-27 10:07:10
0
kyala :
pungu sem. gani. mimi naitaji. kwasabu mimi niko. majohe
2026-08-26 15:44:30
0
To see more videos from user @kuku_chapchap, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.