@joshmwakitabujr: #creatorsearchinsights #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya🇰🇪

mwakitabujr
mwakitabujr
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 18 August 2026 08:58:52 GMT
74767
4212
385
1197

Music

Download

Comments

itsdee901
it's dee🎀🧸 :
me miez me 6 sas hatak anasingizia yupo busy na kaz
2026-08-18 20:37:10
0
user2480032160832
barbie_girl :
gave birth juzi..maziwa inamwagika kwa nguo kama tap..no more smelling sweet for me I guess for a while.
2026-08-19 13:14:46
0
ruuh.mrj
ruuhmrj :
Wachen tu watutese lakin kuna muda yanapita tutawanyooshaa
2026-08-18 21:02:35
36
jackline.barthaza
mamy_D :
umebaki wewe tu kaka kwa wanaume 🥰🥰hongera sana
2026-08-18 19:21:09
35
miss.king648
Zuri 🥰 :
Mimi naomba nikutumie namba 😂😂 untumie yeye whatsapp apate ujumbe vizuri
2026-08-18 18:41:02
60
magott
gotrich :
point San bro🔥
2026-08-18 21:59:00
0
nappetheopist
kendo :
God bless you
2026-08-19 07:35:00
0
mariam6887151767926
mariam :
naomba nikupe namba yake umtumie wasap
2026-08-19 13:02:12
1
winie.massawe
Winie massawe :
nimekupenda bure❤️jmn
2026-08-19 11:07:31
2
prettyphyna01
pretty Phyna :
Sahihi broooo🥰
2026-08-18 19:59:45
1
bety.3921
️beauty kileo🫠🤗 :
kunywa soda ntalipa
2026-08-19 05:57:13
5
chillah452
chillah :
me love you💞💃
2026-08-18 20:42:16
0
anithacute36
anithacute 🍡🍡 :
Kunywa soda alafu nitumie bill 👍
2026-08-18 19:25:46
5
amina.issa836
Amina Issa :
mpaka nimekufollow big up sana
2026-08-19 10:02:50
2
mamu73608
mamu :
kaka me namimba na mimeondoka kwa mwanaume baada ya kumfumania na akaniambia hatahudumia mimba wala haijui na kweli leo siku ya tatu tajanitafuta natafuta mwanaume ambaye anahitaji mtt nimpatie hii mimba moyo wangu una maumivu sana naomba unisaidie
2026-08-18 13:21:12
11
appie763
Appie :
tulishaonekana hatufai yan mm nakuambia katutelekeza na mimba na mtoto hata kula yetu shida tunaomba omba tu
2026-08-18 10:16:15
6
prettysalum970
Pretty wemaa :
awee mie mume wangu anamwambia mwanawe hanifate miguu yangu membambq hananiuzi
2026-08-19 12:48:35
0
zainabukalinga2
zainabukalinga120 :
mhuuuu nilipigwa na mshono wa mwezi na kitoto mgongoni ninakisasi moyoni IPO siku
2026-08-18 15:16:14
9
debora.jumapili
Debora Jumapili :
ukifika mbinguni kuna kiti chaka Kaka angu mungu akuweke Kwa ajili ya wanawake wote duniani
2026-08-18 20:07:55
5
phina.phina.john6
phina phina john :
nimekupenda kakang mungu akutunze
2026-08-19 08:58:10
0
fefeog1234
lovely one💔💔🖤 :
mim kanikimbia kabisaa kakataa mimbaa😭
2026-08-19 06:22:01
0
agustinoscabar3
MRS BENEDICT :
ila uyu mbaba mzul jmn
2026-08-19 11:41:06
3
sumayi.simon
neeeèll :
yani mda wote anakuambia lione maziwa yamelala imekuwa nyimbo kwangu ila najisia vimbaya sana😳😳
2026-08-19 08:03:21
0
amina.h.kigosi
minah love :
kwa dunia ya sasa umebaki wewe to mume wangu kanipa mimba kaenda kuoa kabisa🤣🤣🤣🤣 nacheka ka mazuri
2026-08-19 07:58:50
0
janeth.jones2
Janeth Jones🦋🦋 :
Kaka Wewe umebiki Wewe tu Tanzania 😭💔
2026-08-19 11:29:19
2
To see more videos from user @joshmwakitabujr, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About