naenda kusalimia wazazi wnanamby mbn umechelewa kwenda shule hahaha 😆 😂
2026-08-18 09:57:32
1
claud chazi :
kwani...Kuna jamaa alikuwaga anaitwa uncle samu aliendaga wap aiseee alikuwaga anasimamia kipnd Cha burudani Yani hip hop alikuwa anaweza sanaaaaa maelekezo alipo
2026-08-20 17:29:06
1
lcm❣️ :
umechelewa namb shule😂😂😂😂😂😂
2026-08-18 09:34:36
2
DERICK✅🆒_💦_FGF :
ukisikia iyo sound jua umesha chelewa shule kinachofata ni kichapo paredii😂😂😂🤣
2026-08-21 20:50:50
1
cornel j m :
Wa mbal tyr umechelewa shule
2026-08-18 10:50:24
1
nguvu za kiume :
kuwahi namba shule 😂😂😂😂😂
2026-08-18 10:01:00
1
saidghanamze :
hapo naenda kugonga chumbani kwa maza kuomba mafuta😁
2026-08-30 20:38:00
1
To see more videos from user @mnikocharles7gmail.com, please go to the Tikwm
homepage.