na ukiona bado ndoa ipo hata kama hakuna furaha ujue mwanaume kaamua iendelee kuwepo....
2026-08-21 09:39:23
10
Diya-Al-Hamdy :
Ni kweli ukitaka ndoa yako ionekane ya furaha ingalikua moyoni unalia basi vumilia bila kugombana au kumuuliza chochote mume wako pale anapokufanyia makusudi ya kukudharau, kebehi, kukuchit, kujinunisha ili usimuulize chochote na kukupa majibu mabaya.
2026-08-19 16:20:03
6
🦋Queen Aydah🦋 :
That true alhamdhulilah niko na furaha katika ndoa yngu mpka saa nyingine nashangaa hio furaha na amani,nakupenda mume wngu popote ulipo mungu akulinde🥰
2026-08-20 13:24:45
7
James Bossing :
halafu kuna watu watadhani utani...
2026-08-21 08:23:19
3
Iman :
na ukiona ndoa hakuna furaha na bado ndoa iko, ujue mwanamke yuaomba mungu ampe subra na ameamua kuvumilia maudhi
2026-08-21 12:11:54
1
i@m kareem :
ningecoment lakin basi nasubir next post
2026-08-19 16:29:34
2
Feisal Saad :
ukweli kabisa
2026-08-19 04:13:05
2
Central kizzy ⚫️ :
sio ndoa 2 ata mahusiano
2026-08-20 21:18:58
1
asensio_vitambaa :
Truuuuuuuuuuuuuuue
2026-08-19 14:36:29
1
veteran punity :
factos
2026-08-19 15:08:54
1
dil_interiors :
Maneno mazima haya…..hakuna chembe ya uongo hata moja
2026-08-19 13:22:03
1
𝐋𝐨𝐠𝐚𝐧 :
Naam. Ni kweli kabisa
2026-08-19 17:12:32
1
cadeau7 :
sw kabisa
2026-08-18 11:50:50
1
@ish🥰😋 :
nishaachanaga na hayo. mambo ya mswal niko na fraha sana
2026-08-20 06:00:48
1
خيرآة مُبرآك❤️🩹🥰 :
Wacha tu niseme Alhamdulillah 🥰🥰
2026-08-21 09:15:20
0
raac0l0urz :
Mimi ntaweza kweli kuweka iyo furaha😂😂
2026-08-22 07:12:33
0
@yusuf channel :
kweli umesema
2026-08-21 12:16:03
0
allyisland5 :
Ndoa mahusiano sio jukumu la mume tu mke pia ananafasi kubwa sana sana zaid ya sana kwenye ndoa
2026-08-21 11:55:58
0
user7781385277472 :
wanaume tukutane tumtuze huyu msema kweli
2026-08-20 11:22:04
2
amicanasir :
Sasa kama unafanya vitendo visivyoeleweka kama kuchepuka humdharau humuhudumii na ukaona bado ndoa ina furaha jua kua kuna mwanume nyuma ya mkeo anaitengeneza furaha hiyo uo ndo ukweli ambao wanaume wengi hawapendi kuujua wala kuusikia
2026-08-21 04:24:09
1
To see more videos from user @samiri.hadhirii, please go to the Tikwm
homepage.