@vetalindi: #fyp #driving

vetalindi
vetalindi
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 18 August 2026 09:38:45 GMT
31680
929
39
14

Music

Download

Comments

ramadhanimwalimu63
RAMADHAN MWALIMU :
kwasisi ambao leseni atuna malipo yapoje
2026-08-18 18:16:01
1
user8821843236798
Dully :
muwe mnaweka magar ya test yaliyo kny mfumo hiyo gar imeshapitwa na wakat unatest gar hiyo alafu unapewa faw huwez toboa
2026-08-18 17:07:17
3
foshizo.jr8
Foshizo Jr :
Kwamfano Kwa sisi ambao tunatoka mbali kwaiy Kuna hosteli zipo au vp
2026-08-18 10:27:14
2
mjape45
mjape45 :
ina gea ngapi iyo
2026-08-18 18:43:54
0
mwinjilistijosea.israel
Mwinjilisti Josea Israel :
tunasoma online au
2026-08-18 18:47:25
0
therapist0024
Arbai :
gari ibadilishwa, reverse zinatofautiana
2026-08-18 18:50:47
0
daud.tz75
Daud Tz :
ni wap hapo
2026-08-18 17:36:43
0
user8187302532541ismail
Official@Jerome1980 :
sasa mwalim Mimi natamani kuja lindi kusoma nipate class E ila sijakata leseni ila cheti changu Cha awali kina muda wa miaka 3 na zaidi naweza kusoma class E ikiwa Niko hivyo mwalim????
2026-08-18 16:24:32
0
user38174677605847
Zacharia mchele :
nitumie namba ya Whatsapp
2026-08-18 18:24:19
0
best.seme0
Best :
FAFANUA HOSTEL TSH NGAPI MKUUU
2026-08-18 18:28:48
0
mr.cub8
MR CUB 🇹🇿🇹🇿🇹🇷 :
uo wizi
2026-08-18 18:30:42
0
yonambeleka
Yona mchina :
Kwani izi ada zinatofautiana kimikoa au maana mbona mkoan kwetu E ni 350000 jaman duuuu
2026-08-18 17:52:25
0
myname_is_tanzania
myname_is_tanzania :
sasa mkuu hostel bei gan alaf talipaje nikiwa sijui ntaanza lini masomo
2026-08-18 17:35:03
0
ndunda581
ndunda581 :
Sasa kama mm niliekuwa dar
2026-08-18 17:51:07
0
dicksonmasenyi
Masenyi Tz :
kama mwanafunzi mpya inakuaje apo nifamishe
2026-08-18 17:12:02
0
mohamed.chilau
Mohamed Chilau :
mwalim weka namba hapo samahani
2026-08-18 16:57:06
0
user812366627517
mushi senior :
mi nipo dar
2026-08-18 10:29:58
0
charlzn21
Charlz Nicholaus :
nimemaliza psv na bado sija renew lesen si naweza kuna kuunganisha na hdv
2026-08-18 16:56:01
0
rajabu.hamisi69
Rajabu Hamisi :
mm class D nilikata 2024 vp naweza kuingia kusoma nipate E
2026-08-18 19:05:00
0
fusomayai
fusomayai :
chuo kiko wp
2026-08-18 16:05:50
0
hamadi.mzula
Hamadi mzula :
vp clas c1,2,3 zinapatikana?
2026-08-18 15:18:52
0
jrdanreck
JRDanreck :
Hilo gari?😳😳😳😳
2026-08-18 18:58:34
0
mwinyimvuamwinyi4
mwinyimvuamwinyi4 :
hapo kuna usanii tuwe makini kama ni veta mmbn hawajibu maswali
2026-08-18 15:05:41
0
bawazili.rashidi
Bawazili Rashidi :
tunaomba no boss nikupigie
2026-08-18 15:03:08
0
joeljr099
user2760248414472 :
tuma namba ya simu tuongee
2026-08-18 10:41:01
0
To see more videos from user @vetalindi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About