@iamhunter63: Entertainment ya Zanzibar bado sana 😮💨🔥 Kuna vitu vingi vinahitaji kuboreshwa ili ifike level nyingine. Lakini potential ipo kubwa sana! 🇹🇿🏝️🔥 #ZanzibarEntertainment #Zanzibar #Tanzania #Entertainment #BongoFleva
dakika 20 katika harakati za maisha ya wazanzibar ni nyingi sisi huyo rais wa Zanzibar Dr mwinyi hatusimamishi dakika 20 ni dakika 8 sawa kwanini asitumie upande mmoja wa Barbara kushurting na upande wapili watu wakatumia Barbara Sasa yeye kachukuwa Barbara yote pale Kuna watu wanaenda bandarini je wakose kusafiri kwakuwa yeye anashiting ndio lile vurugu diamond hakupata washauri waziri jinsi Gani ya kufanya shuhuli zake bila ya kuharibu shuhuli za wengine
2026-08-18 15:16:28
80
night-king :
We got no SHOBO
2026-08-19 02:22:27
0
sulesh124 :
uko zanzibar ata aje trump watu hawana time nae niamin mm
2026-08-18 17:59:48
40
Achiy platnumz :
sis wa zanzbar hatuna time😁😁😁😁😁
2026-08-18 20:16:35
0
mazrui.7 :
Is he a god or Jesus who just being reborn🌚
2026-08-18 19:59:01
2
Brah255💛💚 :
Bro ayo syo shida zetu ss
2026-08-18 17:53:32
2
0715002972 :
hatusaidii lolote sisi
2026-08-18 14:55:20
25
Ma2gakiba2 :
zanzbr hakuna ustar 🥰😳
2026-08-18 18:42:18
0
fantastic :
hao wengi ndugu zenu brother
2026-08-18 16:34:01
27
"somz-(seifmzee)" :
kwani diamond ndio nani hatupi lolote sisi hatuna shobo nae sis
2026-08-18 18:12:15
23
bin issa :
huku diamond sio Mungu watu wana haraka zao njian😁😁
2026-08-18 11:27:58
19
ourtief.de.cruel :
zanzibar ni kisiwa kilichopo nje ya dunia😂😂
2026-08-18 18:09:46
15
Fetty :
Wazanzibar hata aje micheal jackson hatuna habari
2026-08-18 19:04:27
8
💋BĨÑÃĦ. Back up 💋❤️ :
nataman nikujibu kwa voice 😂😂😂
2026-08-18 19:25:27
6
mussa mwalim :
kwani ww ulikua unatakaje wakat sisi tunataka kupita
2026-08-18 18:51:13
10
Fadheel Zanzibar :
Hahahahaha Zanzibar wanawapenda wasanii wa mbele sojamaaa wa mbagala
2026-08-18 11:27:54
8
Sk Jackson 007 :
nyimbo yak haitusaidii kit inatupotezea mda
2026-08-18 15:03:49
23
user9039471067060 :
zanzibar hatuna shobo acha tufeli na ushamba wetu
2026-08-18 18:16:59
7
Esherdlove🥰🌹 :
ss foleni dakika 10 unakaa unasubr mtu tu 😂😂😂
2026-08-18 19:25:57
8
KKM :
sasa barabarani anafanya nini tunataka tupite?
2026-08-18 15:10:35
23
SMITH :
sikiliza mzeee Zanzibar kila mtu na mambo yake sasa watu wanasafari zake tusubiri mtu aruke ruke njiani
2026-08-18 18:56:03
12
To see more videos from user @iamhunter63, please go to the Tikwm
homepage.