dada wapambana sn big up siku moja itajipa inshaallah
2026-08-21 20:47:12
7
Lil pappy🤴 :
mimi mungu na mama tuuu hao wengine ni people you may know 😂😂
2026-08-18 11:01:10
19
Dragon🌺 queen❣️ :
i love u gul u are beautiful. may God fulfill your dreams ☺️
2026-08-18 12:08:53
2
💦Ĥandsome💦😎 :
like you are owo🥰🥰🥰🥰love😂😂😂😂
2026-08-18 11:22:54
2
linus🐰zabby💦 :
waambie thummy
2026-08-18 18:44:10
1
D 💓💓🤲 :
nakukubali sana thummy
2026-08-18 09:58:25
2
🫵Hamsøreijnders🫵 :
𝐬𝐨 𝐩𝐫𝐞𝐭𝐭𝐲 🥰🥰🥰
2026-08-18 13:49:08
1
Q ley🌸 :
Nice
2026-08-20 15:27:31
1
Tariq Yasodakki :
mungu n mama tuu
2026-08-18 20:19:15
2
🥀Fattih⚘️ :
mm nakupenda ajab...sipiti post yako bila kulike lkn sijakufollow😂
2026-08-18 18:21:18
2
MWEUSI CLAN :
simuamini rafiki anaenilipia kodi...✌️
2026-08-18 16:54:21
1
samata :
umetisha 😅😅
2026-08-19 13:49:59
2
yobo :
achana na watt walio pita wam inama hii video kali san 🫡😅
2026-08-21 07:46:19
1
NTWARA ICON 🦍 :
kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la kusema maana hata mimi sielewi ndugu zangu..
2026-08-22 04:26:17
1
Kid_Piano :
Aghaaaaaa 😂
2026-08-18 18:43:39
0
Rechiel :
sawabana
2026-08-18 20:45:10
0
B.o.b creator :
sina tatizo na majini....
2026-08-18 18:54:06
0
Mudrick :
ww upo
2026-08-20 21:54:11
0
Aba-jey :
inatosha
2026-08-20 10:25:18
0
Thé_ strêêt _prêzøø :
wazi sister 🫶
2026-08-18 09:54:27
0
To see more videos from user @thummy004, please go to the Tikwm
homepage.