@chobis_twins: This song is the best therapy. 🙌 Imbaaa, imbaa kwa sauti yako hio hio bila kujali, and after that, you’ll feel like you’ve healed from all your wounds🥰 #siokwaubaya link on bio 👆 enjoy 🖤🎵🎼🙌

Chobis_twins
Chobis_twins
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 18 August 2026 09:54:17 GMT
206474
18808
340
135

Music

Download

Comments

user6195026862027
V.PLATNUMZ :
kwan hamna nyimbo nyingine tumewachoka toeni nyingine🤣
2026-08-18 16:43:29
108
user3911470370140
mwaju🌹 :
nami wakwangu hawaapo🥰🥰
2026-08-19 12:31:45
16
mrschriss70
Mrs.Chriss :
kwan hamna mwimbo mwingine huu tumeuchoka tunavumilia tuu
2026-08-19 12:20:20
27
mariam.william06
Mariam💞🙈 :
Mna fanana na Asmah😂😂😂 au na Dada yenu
2026-08-18 15:21:46
13
alicia.shastie
Alicia✨ Shastie🦋🌹 :
mko n sura ndefu ndefu vzr mashaallah,,,
2026-08-22 10:29:53
3
yassir.albahsany
yassir albahsany :
Hii nyimbo itakoma
2026-08-19 14:45:20
6
nats.cute
cute❤️nats🦋🦋🦋 :
kla sku iyo nyimbo kwan wote mmeachikaaaa😂 nashndwakuwaelaaaa
2026-08-20 11:53:25
9
thegeaon99
the geaon. :
haya nimewasikia nawarudia
2026-08-18 10:10:02
16
husnamagadula221
Da-huu point 🌹✨🦋 :
Leo nimeshindwa kumjua kurwa yupi maana vibe ipo sawaswa 🥰
2026-08-18 10:04:45
11
mam_t1
Mam :
Badirisheni wimbo sasa 😳
2026-08-18 10:32:38
9
user837085955692
Jackline :
nataman kuachwa kwa ajil ya huu wimbo tatz sina ata huyo wa kuniacha 😂😂😂
2026-08-18 18:50:28
6
ss956222
ss :
umekua wimbo wa taifa huu
2026-08-18 19:10:17
0
oliva.obedi
Oliva Obedi :
wimbo kla siku Huo huo tumechoka
2026-08-20 22:58:32
6
user7792210581850
mary mluhya :
tumewachoka sasa na hii nyimbo
2026-08-21 19:09:38
1
user34947280042693
Wasikahambu@19 :
titre ya iyi nyimbo svp!!
2026-08-22 17:34:39
0
millagros.08
being millagros💞 :
mbona mnafanan na asma majid😍
2026-08-24 16:42:14
2
munahalshibani
munah shaaban :
tumeichoka
2026-09-02 12:53:52
0
neemastev443
Neema Stev :
kwan nyimbo niyakwenu au
2026-09-02 18:21:57
0
sabra.abdallah828
Sabra Abdallah :
Kwan hamna nyimbo nyengine jamn
2026-08-18 12:12:47
2
williamsabayo
✨williey🎤🎤 :
hiyo ndio verse ninayoikubali 🤟💪💪
2026-08-29 18:53:34
1
user3257980757448
espérance :
mimi na taka Mu imbe moja moja kila mutu kwa wakati wake a imbe wimbo mzima
2026-08-31 06:45:48
1
blakeblack18
nickname :
Mi ndo nawaona kwa mara ya kwanza wenzangu washawachoka😂
2026-08-20 20:13:44
2
tatundegwa503
fathmah juma :
hiii song Iko pwa sana aky unaeza Lia sana🥰🥰
2026-08-18 10:13:54
4
user8411253074115
romy💯😍 :
samahanini jaman pengine mnaupenda huo wimbo lkn tungeomba mubadilishe bas mmeshinda khaa jaman
2026-08-19 15:24:19
0
kabiling3
Tina💋💕😘 :
nyimbo inaitwaje
2026-08-18 10:23:58
1
To see more videos from user @chobis_twins, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About