@thecalvineffect: Nilikwenda kuwatembelea rafiki zangu Mbezi, lakini nikawapa challenge moja: kila mtu aniambie tatizo moja linalomsumbua kwenye bodybuilding. Sababu ni simple hawa sio watu ninaowafundisha tu, ni marafiki ambao tumekuwa tukisaidiana kwenye safari yetu ya kubadilisha miili na kuboresha maisha. Kila mmoja ana challenge yake: wengine kwenye nutrition, wengine training, recovery, consistency au mindset. Bodybuilding sio safari ya mtu mmoja. Tunajifunza, tunasaidiana na tunakua pamoja. Uko kwenye bodybuilding, ni changamoto gani kubwa inayokusumbua kwa sasa? #kwillahjr #fitnesseducator #thecalvineffect

CALVIN #strongboy
CALVIN #strongboy
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 18 August 2026 10:13:54 GMT
51723
2268
57
225

Music

Download

Comments

renatusleopard782
Renatus Leopard :
leg day huwa anatega
2026-08-18 17:21:36
1
sungj58
jiren :
bro be like😂😂
2026-08-18 15:27:24
18
juvenal.michael
J macron. 🗿 :
bro he got what 😅
2026-08-18 10:47:15
1
ozilfurnitures
ozil :
Ooh hell noo 😂😂😂😂😂😂
2026-08-18 21:09:40
0
jamal_muller_jordan_
Jamal Muller vevo :
Jonny bravooo😂😂😂
2026-08-18 16:52:08
4
forklift930
叉车t🇹🇿 🇨🇳 :
ai hio 😂
2026-08-18 13:58:22
2
patrickmoshi225
Patrick Moshi :
2026-08-18 16:01:24
0
srightnow4
sR®~~ :
2026-08-18 10:32:04
5
life.of.a.driller
Life of a driller and minerals :
gym ipo mbez sehem gan
2026-08-18 15:38:13
1
fallywolf122
pray hope and don't worry :
2026-08-18 18:09:18
1
franktz127
Frank Tz🇹🇿🇹🇿 :
🤣🤣🤣huyu mimi
2026-08-18 15:42:03
1
fanbeditsworld
𝐅𝐀𝐍BⓂ️🎬 :
aaah😂😂
2026-08-18 11:17:40
1
omaryramadhan312
Ramadhan :
wa ommy uko wap
2026-08-18 17:23:33
1
its_saleemtz
its_saleem :
2026-08-18 20:07:58
0
srightnow4
sR®~~ :
hahah
2026-08-18 10:30:31
0
lucky26440
Lucky26 :
Sema Miguu inakua inatuaibisha sana
2026-08-18 20:23:49
0
iammozu
Mozu🏋️‍♂️ :
Daaah😂😂😂😂
2026-08-18 12:43:56
1
mohammedchotara
feisal :
2026-08-18 20:26:43
0
gjemshideytz
@Feisal Dady :
Doo mjomba mi na skip leg day lakin wew umenishinda daaa
2026-08-18 20:46:10
0
To see more videos from user @thecalvineffect, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About