@kaka_wavitambi: Watu wengi wanaogopa kula usiku wakidhani wataongeza uzito... ukweli ni huu Hiki chakula kina potion ndogo ya wali, nyama , maziwa na mbogamboga za majani 😋 mchanganyiko unaokupa👇 ✅ Kushiba muda mrefu ✅ Kupunguza tamaa ya kula vitu vitamu usiku ✅ Virutubisho muhimu kwa mwili Lakini kumbuka...✍️ Sio kila "healthy food" ni ya kupunguza uzito kama ukizidisha kiasi Siri iko kwenye apa 👇 📌 Kiasi sahihi 📌Muda sahihi 📌 Mchanganyiko sahihi Ukijua kula vizuri usiku unaweza kupungua uzito bila kujitesa 👏🔥 Je, Ungependa nikupe ratiba nzuri ya vyakula vitakavyokusaidia kupungua uzito ..!? Nitumie neno " UZITO" nikupe maelekezo zaidi Kwa Masada zaidi tuwasiliane 👉 WhatsApp ☎️+255 713 70 1943 #weightloss #afyabora #vyakulavyakupunguzauzito #explore #foodlovers

Fredy weightloss
Fredy weightloss
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 18 August 2026 10:17:44 GMT
199
6
1
1

Music

Download

Comments

ummuamne74
Ummu amne :
UZITO
2026-09-12 20:37:09
1
To see more videos from user @kaka_wavitambi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About