@ommyfitness: Kama huchimbi visima, hubebi mizigo, hulimi kazi zako ni za kukaa kama Bankers, officers, walimu, wahasibu n.k epuka wanga kwa ajili yako mwenyewe. Kama wewe ni dereva wa kiongozi na haupo active hivi ndio vinapaswa kula vyakula vyako. Kama unatamani na hujui utaanzia wapi, jiunge na program yangu ya kupungua uzito kwa Diet nitumie neno COACH WhatsApp 0628908800. Bado siku 12, unaweza kutimiza malengo ya kupungua 6KG WE ARE MOVING. . #ommyfitness #trainerwataifa
Trainer wa Taifa 👑
Region: TZ
Tuesday 18 August 2026 10:39:08 GMT
Music
Download
Comments
me :
nilichogundua hakuna mlo ambao umekosa parachichi.
naomba nipe siri ya parachichi.
shukran
2026-08-19 12:42:40
4
Haneefah 💫 :
Mbona me ugali silagi nakulaga wali tuu ndo nazidi ongezeka 🥺
2026-08-19 19:40:57
5
NURU YA KWELI💥 :
anaejua namna ya kutengeneza slide kama hivi anisaidie🙏👏
2026-08-19 16:53:22
1
m.ec.c :
af mda uo naingia mitikas au narudi kulala 😂😂
2026-08-19 19:34:05
5
Wyse Jones :
mm sitoboi
2026-08-19 18:33:44
2
~peterson2🎮🏀 :
me nataka niongezeke Sasa inakuaje
2026-08-19 17:25:54
0
Rommy tz :
ila wanyakyusa
2026-08-20 00:38:27
2
Trevor :
apa siku ya 4 tu mtanizika wakuu inamaana asubuh unakula nin na mchana unakula nin hujatuelewesha apa
2026-08-19 18:36:26
2
Techkel :
asubuh empty mchana juice na keki moja total caroli 400 usiku night wali kiasi caroli 1200 total 1600 kwa siku push up 120 libs exercise ni mara 60 Nina feel ku maintain mwili that's discipline
2026-08-19 16:06:57
0
Mu products :
mbona menyu zote avocado limetawala
2026-08-21 12:18:50
0
sharkman :
utamadunii😁
2026-08-20 12:31:08
0
Ladydhaura🥰 :
mie leo ya 7 sili wali wala ugali lakin sina uwezo wa kula mayai yote ayo kwa siku nafanyaje
2026-08-21 15:17:32
0
ROI BELGE ISSA :
sasa mbona parachichi inatumika mafuta ?
2026-08-21 15:27:11
0
Kelvin Sanga :
ila umekula vzr sana aise.... mim nina miezi miwili sijala nyama... sina pesa
2026-08-20 15:04:58
0
MKETO_THE_SON_FURNITURE :
me ni sipo kula ugali nakonda kwakweli
2026-08-20 16:44:36
0
Job Sererya :
Nisipokula ugali ntakuw nameza mboga na sita shiba 😅🤣
2026-08-19 17:55:12
0
Essam edel :
Uongo wali ni chanzo kikuu cha energy so japo kidgo uwepo
2026-08-19 10:24:47
0
INFINITYWAVE :
mimi nikila michemsho kama hii ndio naongezeka zaidi yaani
2026-08-20 13:56:47
0
@thobius_maneno :
sasa nyama na parachichi nitalala kweli mkuu😟
2026-08-19 15:42:33
1
pk bullet :
labda sio njaa 😂😂
2026-08-19 18:36:16
1
minaah Muslim ☪️ :
wala haviwezi kupanda bila ugali pembeni🤣🤣🤣
2026-08-19 00:56:42
2
mokiwamuya :
kwahy nile mboga tu bila ugaliii???🤔🛌🏼
2026-08-19 16:15:55
1
Meshack Bernaldo :
apo parachichi sijaliona kwenye siku moja tu
2026-08-20 16:21:29
0
The Unsaid Feelings :
MZEE KOMBO YA PARACHICHI HAIKWEPEKI
2026-08-20 16:35:05
0
Rosie 🌹 :
samahani hivi maziwa fresh yanafaa kwenye safari ya kupungua
2026-08-18 11:01:25
0
To see more videos from user @ommyfitness, please go to the Tikwm
homepage.