@davimess26: Muigizaji wa filamu Muhogo Mchungu amesema kuwa ni vyema wasanii wanapotaka kuwataja watu kwenye kazi zao inabidi wawaombe kwanza kabla hawaja ingia studio na kufanya wimbo. Muhogo Mchungu akatolea mfano kama Diamond Platnumz alimtaja kwenye wimbo wake bila kumuomba ridhaa yake na jambo hilo sio zuri kabisa . Aidha Muhogo Mchungu amesema kuwa solidgroundfamily hawakumlipa pesa yake aliposhiriki kwenye video ya wimbo wao wa Bushparty . ''Hata mwanangu diamond vile vile muhogo mchungu sijui nani nani zimepitwa na wakati ilibidi aniambie hauwezi kumwambia mtu bila ya ridhaa yake ''Amesema -Muhonga Mchungu

Davestar⭐
Davestar⭐
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 18 August 2026 10:44:00 GMT
323977
5239
173
54

Music

Download

Comments

chumuh5
Chumuh 🥰🦋 :
wangapi tunasubili kusikia muhogo mchungu 😂😂😂
2026-08-19 09:31:36
229
user7945529361987
mirry Abby :
basi tuelekezeni mbn sijasikia muhogo mchungu au mzee wa minoti??
2026-08-18 18:25:19
40
witiemgonto
witie🤩 :
Sijaskia Abdalah wala muhogo mchungu mbona🤣
2026-08-22 03:19:07
26
god.kaduma
mimah :
kwani muogomchungu anaitwa nani
2026-08-18 19:49:44
9
yassirimusa.chium
Yassirimusa Chiumia :
Mr kashauro
2026-08-22 09:17:27
6
switch.er
✌🏽 :
Akishasema mzee wa minoti skiliza utaskia kwa mbali muhogo mchunguuu
2026-08-22 14:59:41
17
enetzchampion
enetzchampion :
au kasema mr mhogo mchungu😂😂😂😂
2026-08-22 11:37:31
5
yumra179
Yumra❣️💞🦋 :
bola nilivyowai kuingia kwenye comments kabla bando langu la jelo alijaisha 😂😂😂
2026-08-22 08:56:15
6
dickson.livin
dickson livin :
Na ss Akina sele mpaka tumevunjiwa uaminifu n mbosso je 😁😁
2026-08-18 19:24:02
6
iqramissa77
Putin WiFi🛜 :
Hahahahaha kutajwa wp mbona me sijasikia
2026-08-22 08:56:26
4
fahadrashidyjumbe
Fardmimi :
Mbona sijasikia muhogo au kabadili jina anaitwa Mr waya 🥺
2026-08-18 20:56:59
1
guntram_ilomo
Ilomo_G :
Sijamtaja huyu Mzee mimi
2026-08-18 19:53:45
2
user756603125275
Uncle Lastborn :
Itabidi na mm nianze kulipwa maana jina langu SELE linatumika sana
2026-08-18 20:18:20
2
gee678gift
Gjamilla💚🦋 :
jina lake ni Mr waya guys
2026-08-22 11:52:55
14
user4725829540887
debbie :
mm nasubilia kusubili muhogo mchungu au huyu ndo party mwenyew
2026-08-19 02:07:04
7
duniayawarembo25
duniayawarembo cosmetics :
na mimi nilipwe na sauti sol wale wa kenya wanitaja ile nyimbo ya suzana nilipwe😂
2026-08-18 20:11:12
3
luoibunditony
𝐿𝑢𝑜𝑖 Bundi 𝑇𝑜𝑛𝑦 :
𝑀𝑜𝑛𝑑𝑖 𝑎𝑡𝑢𝑡𝑎𝑗𝑒 𝑠𝑖𝑒 ℎ𝑎𝑡𝑢𝑛𝑎 𝑠ℎ𝑖𝑑𝑎 ℎ𝑎𝑡𝑎
2026-08-20 16:53:57
1
user3705066704826
pendo girwawe :
ila watu🤣🤣
2026-08-20 10:40:36
2
gwagon051
gwagon051 :
Mbona sijaskia jina lake
2026-08-22 17:37:53
4
tumwesiger1
Tumwesiger✌🏿 :
Nyimbo Yenyew Inaitwaje😂
2026-08-18 19:35:52
2
carengag
Caren G :
Nimesikiliza kwa makini sana sijasikia jina lake
2026-08-19 01:54:25
3
mk.erick85
Mk Erick :
jina halina hati miliki 😅
2026-08-22 04:24:38
1
hassanmapunda312
KASSO :
kaso
2026-08-26 10:13:05
1
savelclement
momy girl☘️☘️🍁🍁 :
muogo mchungu zilipendwa
2026-08-23 19:36:45
1
rashy_dotaa
@faah :
mnapenda kutuchanganya😅😅
2026-08-18 22:15:39
1
To see more videos from user @davimess26, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About