Ee MUNGU mie Niepushe na hii k2 Na mtie nguvu huyu anaesoma coment hii🙏🙏🙏🙏🫂
2026-08-19 06:39:32
25
chasambi :
kwahy umeona kuangalia video haitoshi hadiukaamua kuingia kwenye comment 😊
2026-08-18 19:56:30
189
kimdoli🫶❤️ :
Eee mungu niepushe na hiki kikombe kwani mwezenu naogopa ata panado tu natapika sasa hii kitu mm si nitakufa jamna 🙌🙌🏃♀️➡️🏃♀️➡️
2026-08-19 04:35:02
68
🅜︎🅡︎.🅚︎🅤︎🅦︎🅔︎🅩︎🅐︎ 🇹🇿 :
Weka namba yako mchumba mm natak hivyo hivyo😂
2026-08-18 21:44:49
65
Open :
Leo nilikuwa na ahadi na nauli nimetuma ila apa sijui nimwambie nimepata zalula gan ?
2026-08-19 04:20:12
15
josse 🇹🇿 :
me kwasasa nimestaafu Mapenzi
2026-08-18 20:48:01
16
Home_connect_Tz :
watu wa munguu hawayuuuuuniiii
2026-08-18 21:10:35
7
tumayra🥰👌 :
duh pole kipenz😰🥰
2026-08-18 17:51:38
8
VUGIRI ONE :
😭Nilipo iyona video hii nikampigia kumwambia asije leo na halisha sana
2026-08-19 05:27:55
5
🎀miss wancy🤍 :
hongera Kwa kujiamn mway Mungu akutie nguv
2026-08-18 22:31:36
7
Nelly ✌️✌️ :
daah uko vizur dada angu watu wanaona kama ajab huo na ugonjwa kama ugonjwa mwingn tuu wa mareria sema tuuh ndo Ivo sema uhakika dada unajikubal mbaka nimependa unawapa moyo na wengn safi👏👏
2026-08-18 21:07:12
33
kigwazo Tz :
mh Ad naogopa amna ata arama Wanangu atutoboi
2026-08-19 01:18:28
6
KISUPYA JUNIOR (JR) :
hongera
2026-08-18 23:23:36
1
sitty van🫶 :
😂😂😂😂😂waeleweshe wezio wanajua tayari
2026-08-18 18:38:36
25
hawayasin859 :
nimeflai ulivo jiamin t mana wengin awatki kujikubal
2026-08-18 21:50:58
6
fey wa dee17 og❤️❤️❤️❤️🔥 :
saw nimeongeza leke na koment si ndo unachotaka mwenetu
2026-08-18 19:27:24
7
🍭Mrs dz🎀🦋 :
nakupenda ma mpenz
2026-08-19 06:11:11
0
chombo Cha dereva :
zinauzqa bei Gani nataka
2026-08-18 20:06:20
0
Smile girl sylv🦋 :
Mungu wang 🙏
2026-08-19 05:44:17
0
To see more videos from user @madamepapy2, please go to the Tikwm
homepage.