@pmakanshu_life_revival: Mwili wa binadamu unahitaji Acid kali na nyingi ili uweze kufanya kazi ya mmeng’enyo inavyotakiwa ili uweze kuondokana na magonjwa kama acid reflux, vidonda vya tumbo, kutokupata choo, auto immune nk Ili izalishwe acid kali unahitaji madini haya, Ukiwa pata kwa usahihi utakubaliana na Mimi kuwa #kuishibilamagonjwainawezekana #drmakanshu #eachoneteachone #creatorsearchinsights