Dada nina mtoto wa miez 8 nina mimba Tena nishaur nifanyaje 😭
2026-08-18 19:34:27
60
NASH..62🦋⚽️ :
Watoto wana wivu nyie mm mtoto wa dada angu me nilivyopata mtoto akawa kila siku ananiambia Oddo mrudishe huyo mtoto kwao mara aniambie tutamtupe makorongonii 😂😂😂😂
2026-08-19 05:13:13
60
Hawaa :
Wangu Alikuwa Km Hivyo Wamepishana Miezi Tuu Akawa Ananiambia Mama Mrudishe Huyu Mtt Kwao Mm Simpendi Kila Mara Unampakata Yy,,,,,Siku 1 Nilikuwa Naoga Akaamua Kumburuza Eti Atoke Kitandani Nikamsikia Anavyougulia Kutoka Namkuta Yupo Bize Kumburuza Yaani Ningechelewa Ningemkuta Chini Na Kitovu Kilikuwa Bado Hakijakatika Nilipomuuliza Kwann Unafanya Hivyo Jibu Lake Nimekuambia Mrudishe Huyu Mtt Kwao Ndio Nilikuwa Namrudishaa Oh My God,,,,Watoto Wa Kufatana Hivyo Wanahitaji Uangalizi Wa Hala Ya Juu!!
2026-08-19 04:11:58
16
BINTI JOHOOR 🇰🇪 🇦🇪 :
😂😂😂Umenikumbusha wangu walikua hivi nkawaacha kdogo kuingia jikoni weee nsisikie mlio Mtoto alipigwa mwiko wa kichwa sisahau
2026-08-19 11:21:49
6
Princess Ngowi :
yanii najiona mimi mtto ako na 2yrs.mimba miez 6😁😁😁
2026-08-19 12:32:10
6
HIT and RUN 👌 :
Bora huyo wako anamnyang'anya mtt Kuna Hy wangu ana kaz ya kupiga tumbo langu kila akiniona ni vita na tumbo langu 😂😂😂