Kindly don't judge pastor,but I don't support what am seeing 😥😥
2026-08-20 18:20:22
1
Yasinta Eustus💫 :
Usiruhusu tamaa ya moyo izidi hofu ya Mungu; kumbuka kwamba siku moja kila mtumishi atatoa hesabu mbele za Mungu.”
2026-08-18 18:32:35
8
ANGEL MERCY :
sometimes tunaonyeshwa ukweri lakini hatuoni...na tuko kanisani kushanguria uwovu...Wacha masanamu
2026-08-20 07:39:53
6
Mr Michael :
Hivi hii dunia inaelekea wapi😭😭😭
2026-08-18 21:06:57
7
user9654670377881 :
Jesus was a friend of sinners..
2026-08-19 10:43:52
0
user2501348032050 :
ikiwa wewe ni mchungaji ,mhubiri yesu waliopotea wamrudie kristo ,bibilia yasema yesu aliwatuma wanafunzi kuhubiri habari njema ya ufalme wa mbinguni ,
2026-08-19 20:39:32
1
moses gospel :
mmmh kuna mudaa naaangalia vtu kma hizi naesema mungu niwa huruma
2026-08-18 12:04:51
7
Beryl Sia :
Afadhali umeona pastor, hii Kenya yetu imenishinda. Huyu kanyari anafanya vituko sana.
2026-08-18 15:05:57
1
Ahishakiye Eriane :
mungu wangu nihatiri 😂😂😂
2026-08-18 14:25:25
2
Betoya :
😭😭😭😭😭😤😤,, E mwenyezi Mungu mbna watu wa kizazi hiki hawaogopi kulitaja jina lako Bure,, duuuh tuhurumie dunia imeshaisha
2026-08-20 16:00:45
2
gervas mwambene :
lakin Biblia iko wazi siku za mwisho maasi yataongezeka ni siku za mwisho kwahiyo yote yanayoonekana yalitabiriwa, cha msingi Mtakatifu na azidi kujitakasa basi.
2026-08-18 18:46:14
1
MR UNSTOPPABLE FX :
kenya wamezidi jamani duuu 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
2026-08-18 15:11:50
1
happines Tz :
Daa jamn mungu aturehem watoto wake 😭😭
2026-08-19 08:23:29
0
mom moreen :
heee hili nalo kanisa????
2026-08-18 13:45:43
2
user7367105242620 :
Mungu tuhurumie cc waja wako
2026-08-18 13:29:29
1
ruth0254 :
hii ni nini sasa
2026-08-18 12:16:54
1
Eliya Destin :
mungu tu oneye uruma kabisa
2026-08-18 12:49:55
1
Esau Watson Kalinga :
DUNIA SIMAMA NISHUKE DAAH AISE TUMEFIKA MBALI SANA YAANI PABAYA MNO... AIBU NAONA MIMI KUITWA... LAKINI NITAMTETE YESU.. KWA INJILI KWA FEDHA NA NGUVU ZANGU... HII NI KUZIMU KABISA IPO KANISANI
2026-08-18 13:13:51
1
Beat_rice252 :
mimi niliachana na kanisa kwa sababu maduramas in church lakini si kuacha mungu
2026-08-22 17:51:41
0
Amani Petro :
jaman ,eeeee
2026-08-22 16:10:15
0
Tamasha Omary :
wacha niendelee kuabudu chumbani kwangu
2026-08-22 15:01:26
1
user8860600193855 :
kweli
2026-08-22 15:46:27
0
barikisimonpetro :
Tubuni Kwa maana ufalme wa Mungu umekaribia
2026-08-22 15:23:04
0
To see more videos from user @obedjkatunzi375, please go to the Tikwm
homepage.