@dr_madini_tz7: #tiktoktanzania🇹🇿 #viral #fypシ

dr_madini_tz.
dr_madini_tz.
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 18 August 2026 12:01:38 GMT
17992
586
83
106

Music

Download

Comments

hoperayc
hoperayc - ❤️🦋 :
😂😂😂😂😂😂 Nachoka
2026-08-18 18:02:35
1
mose3984
mosèe :
😁😁Enzi hizo napaka mafuta ya mamujee
2026-08-18 17:02:36
9
leahsweya
leahsweya :
muda huo napiga mswaki wa mti huku navaaa huku nakula kiporo
2026-08-18 18:37:52
3
winner.wilfed
Winner Wilfed :
zamani yangu 2004
2026-08-18 13:53:22
1
immaalfredsiame
immaalfredsiame :
enzi hizo napakaa mafuta ya zawadi Zanzibar 🤣🤣
2026-08-18 16:29:22
4
husna0044
🧿🌸husna 🍎 :
Sina ham ilikua ikilia hivi hapo mama na kaka zangu wananichangia kunipiga na kuniburuta nakataa kwenda shule kwasababu sijapewa pesa za bagia na barafu😂😂😂
2026-08-18 20:23:56
1
lucydaniel01
lucydaniel01 :
umenikumbusha mbali sana 🤣🤣🤣🤣
2026-08-18 12:19:06
2
majalajunior1
Adams Michael :
Matukio Radio 📻 Free Africa
2026-08-18 13:53:02
2
belindajoseph982
linda :
ndonn tena jaman
2026-08-18 15:32:18
1
azizarashidi7
Bint Rashidi :
hivi sasa nisamoja kamiliiiii😅😅😅
2026-08-18 17:28:47
2
user66869688481816
R chuga :
kabisa, mm hapo shule hadi mchana, nnaenda kama nilikua asbh.
2026-08-18 19:46:36
1
da.mamu.braid
Da mamu braid :
kwel kabisa
2026-08-18 13:56:59
1
victormpunzamp1
Kırlangıç 🩺 :
😂watanzania tuzungumze magazeti
2026-08-18 17:12:00
1
santurylucia28
stylish by lucy 💄🪮🌸 :
mimi nakumbuka nilipoteza soks zangu nikamuomba mdogo wangu tukate zakwake 😂😂😂 tukazifua maana zilikuwa chafu tulivomaliza tukazishika mimi huku kwenye vidole mdogo wangu juu sasa tukaanza kuvuta zikalefuka tukazikata 😂😂 tukavaa tukaenda shule😂😂😂
2026-08-18 19:59:34
1
yudong20
yudong 🇹🇿🇹🇿 :
🤣🤣🤣 kwer tena
2026-08-18 13:51:01
1
lameck.machimo
Lameck Machimo :
sipendi nguo nilipoweka jana asbh muda wa shule nikute mtu kazihamisha
2026-08-18 18:54:02
0
mariani.martini
mariani martini :
mhhh atari
2026-08-18 14:08:41
1
elisha.an8
Golden Eagle ~🦅 :
uhakika
2026-08-18 13:29:33
1
yongrinjonathan
yongrinjonathan :
live
2026-08-18 14:15:45
1
user1318221357698
Jesca_p21🌹 :
mm hapa kila nikiskia hiyo saut kinachofuata nafukuzwa ndan nikiwa nimeshikilia sket ya shule
2026-08-18 14:32:55
1
user44708143666955
Michael Kwayu :
mbon redio inaongelea habar za 2025 sasa
2026-08-18 19:31:39
1
anchuchu.antiti
Mahmoud :
umenikimbusha mbali san Ahmed Ally anasoma magazet RFA😂😂
2026-08-18 18:37:59
2
cute7413
husnajux :
nitamka mapema sana ila ntatafta nguo za shule hd sa mbili ntapata sweta shati silioni😂😂 soksi ipo moja ikipiga hy nyimbo namwambia mama mwalim wetu hayupo😂😂😅🤣🤣🤣
2026-08-18 20:41:05
1
meddy.bambo
meddy bambo :
daa umenikumbusha mbali😭
2026-08-18 20:46:28
1
user6351620335161
user6351620335161 :
ilaaa😅
2026-08-18 20:28:31
1
To see more videos from user @dr_madini_tz7, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About