@bwana_ukoko: hapo ni Tanzania#tanzaniatiktok #comedian#creatorsearchinsights#fyp

bwana ukoko
bwana ukoko
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 18 August 2026 12:04:31 GMT
147404
8404
173
258

Music

Download

Comments

opporeno740
peninah Tito :
hiyo ni wazo mpya
2026-08-21 05:51:40
0
rabanthadeo
RB JR :
ongeza saut sijasikia vizuri 🤣🤣🤣
2026-08-19 07:24:45
29
shivo5356
mkingie jr :
Tanzania ndo nchi pekee chupa ya chai ikivunjika ina kuwa chupa ya chumvi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-19 21:24:41
22
kassimuabdalah531
Kassimu Abdalah :
ni kweliiiiiiii
2026-08-18 18:32:41
12
tkgm12s2zo1wo8
judkomba :
ukiona umeuliza swali ukajibiwa kwa swali jua ushafika Tanzania😅😅😅
2026-08-19 11:36:08
34
user500994405
Salleh Jr :
Mission Complete
2026-08-19 08:05:56
6
7rahmani7
RAHMAN 🐇🦺 :
daah kweli noma tuuh
2026-08-19 09:37:27
7
launafasi
🔥🔥dg dazzy☠️💥 :
kwishaaa Tanzania ndo nchi ya kipekee dunia nzima 😂
2026-08-19 12:05:17
8
erickeventfull
H :
Ukiona neno lime andikwa vocodam na watu wame soma Vodacom. umesha fika Tanzania
2026-08-19 13:34:32
7
kingthetrueboy
King The True Boy :
Sasa utalipa je kwa simu ambayo imezimwa?
2026-08-18 22:25:42
8
user7818263668651
Bj jannat :
kumbe me nimepitiliza nipo marekani ngoja nisubir daladal nirud Tanzania
2026-08-19 12:10:15
7
kelly.nyavanga7
🇹🇿@king💫lastborn💫#kelly :
ila eze🤣🤣
2026-08-19 08:00:30
8
muba.mziguq
muba mziguq :
nachoka mim
2026-08-19 11:33:33
2
user7485116122932
Kishoka :
ila mbona kama kweli😂😂😂
2026-08-19 17:40:47
5
manaty053
manaty :
mi ndo napakalibia
2026-08-19 09:03:28
4
johny.tz5
Johny Tz :
nachoka mimi
2026-08-19 06:30:31
3
advancetz2021
AdvanceTz :
bank pia
2026-08-19 13:25:21
2
ayubuevarist439
Ayubu Evarist :
duh
2026-08-19 07:39:48
2
user57586168237053
Ray @shaid :
nachoka mjukuu wangu
2026-08-19 09:01:28
0
op.mziray
op.mziray🇹🇿🚜🦺 :
tanzania pekee mtua anakuambia nakuja na ndo anaondoka
2026-08-19 21:15:28
3
mpogoro33sali
Mpogoro OG :
ila Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
2026-08-18 18:52:06
4
japhetmwakilasi
Japhet Mwakilasi :
🤣🤣🤣 unaambiwa mteja mfalmee ukiingia ndanii unakuta usiegemee kiooo 🤣🤣🤣 ufalme haupoo ndg yang
2026-08-20 22:16:23
3
barakaandrea285
Baraka Andrea1999 :
washa sim lipa halaka zima tena
2026-08-21 05:25:09
3
user9741168874855
abdulrahman :
wapi tanzania
2026-08-19 19:28:48
1
fikiramaneno
fikiramaneno :
au ripanamba
2026-08-19 11:25:09
3
To see more videos from user @bwana_ukoko, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About