@afya_na_mtasha: Mwanaume akishalala na wewe tegemea mambo haya 😁 #men #women #psychology #Relationship #marriage

Mtasha
Mtasha
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 18 August 2026 12:08:52 GMT
964704
46823
1879
3895

Music

Download

Comments

lavine_109
me 💖✨ :
tunao subili ndoa tujuane😂😂😁
2026-08-18 17:43:47
654
catewayua855
kamum🥰🥰🥰🥰 :
very true
2026-09-15 08:55:49
0
misschocolate042
Miss💫gal💎🌺 :
Mm wa kwangu ndo kanipenda zaid
2026-08-19 09:36:26
366
freelance.makena
bnvstr risper :
true bro
2026-09-14 12:33:30
0
user9611706262520
mwana wa willy :
Mimi nmwenyew nikilala na mwanaume tu mapenzi yanaisha kabisa ata nakuwaz simfikirii Tena huyo mwanaume
2026-08-18 17:12:50
213
kipenzichawengi05
kipenzi cha wa🇹🇿🇰🇪🇺🇬🇨🇩 :
kama unataka uyo mwanaume akuwaze kama mwanzo mkisha lala tu usimtafute wa la kumpigia kelele nyamanza atajistukia na kujirudi mwenyew iwe tabia yako ya kila siku kutokumtafuta kama nk wakuenda ataenda kama ni wakubak bc upendo utazid
2026-08-18 18:13:54
114
virtuoustasha5
virtuous Tasha :
jamani sio wanaume wote wako Ivo
2026-08-18 18:48:03
76
azuathsaid5
Azuath🩸 :
asa mbona me nina tabia za kiume jmn 🥺 au nikachunguze homoni zangu
2026-08-18 14:47:23
59
nusrajulius
nunuh girl♥️ :
siwezi olewa na mwanaume ambaye hatujaonjana
2026-08-20 22:08:02
25
user348121625339
Adija sudi :
ukiona hivyo akukupenda toka zamani
2026-08-20 07:03:14
25
mwamin.hamim
Mwamin Hamim :
ukiona hvy hajakupenda kakutamani
2026-08-23 09:01:51
10
happy79961
Happy :
Mm mwenyewe nikilala na mwanaume ndonakuwa nakibur 😂 yeye ndo anaanza kunisotea
2026-08-19 14:44:26
15
siwemanicolas2
Siwema nicolas :
mbona mim ninatabia za kiume bas😳
2026-08-18 17:29:21
5
samira45501
samira🌺💖 girl :
sio wanaume wote wakwangu mbona ndo kazidisha kupenda zaid ya awali
2026-08-21 10:38:43
12
sam.anth78
mellisa :
akuna mtu anafikiria mtu sai...tunafikiria vile tutajenga maisha yenu..
2026-08-18 19:59:32
18
fetty.mtiti259
Fetty Mtiti :
Bwana mbn mm siko hv nikilala nae ndio nikitoka hapo namblock sitaki hata kumuona 🤣🤣💔au mm ni mshenzi nachezea wanaume😁😂😂🤣😅😅
2026-08-21 06:34:36
6
saraphina8683
Saraphina :
kiukweli mi ni mwanamke ila nikilala na mwanaume tu namsusa kumbe kwangu ni vise versa
2026-08-18 17:21:53
8
swan741
Black swan :
Ni wanawake wa zaman sahz wanawake ndo hawataki tena kurudia mwanaume twice😂
2026-08-20 15:11:20
6
chunchu.mercylen
K.A.I.L.E.Y.💙👑🧚‍♀️ :
me mbn ndo ananifata fataa kila siku😂😂😂me ndo sijibu
2026-08-19 07:20:29
5
agathafelix85
Agatha felix :
labda mwanamke wako sio mm
2026-08-18 14:03:37
8
aslanaymwadi
Aslanay Mwadi :
hebu mie nisubiri ndoa
2026-08-20 11:06:41
5
queenkahindo3
Queen kahindo❤️ :
Uongo kabisa kuna wanaume baada ya kulala na mtu ndo ananja kukuwaza muda wowote nakukupenda tena kiasiiii
2026-08-19 11:12:12
11
rahmaramadhani76
rahmaramadhani2687 :
kwaiyo wew ulilala na mwanamke wako baada ya ndoa????
2026-08-18 17:30:26
10
user9187259088667sherry
sherry martin :
sio kweli,nimelala nae ndio kazidi kunipenda na amekuwa na wivu sana,na simpendi namjibu ninavyojisikia bado yupo TU.kinachonifanya niwe nae ni Hela zake TU,sikumbuki hata niliwahi kumpenda
2026-08-22 12:09:13
6
To see more videos from user @afya_na_mtasha, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About