siwameiba sema wameiba Nini tuwalipie kuliko kudhalilisha hivyo😳😏
2026-08-19 08:04:41
2
fa@h🥷🏾💫 :
Ila kuna muda wenye maduka munakosea sana hao wengine wanavyojielezea tu wanaonekana hawapo pamoja nae na huyo mwizi mwenyewe angekua anafahamiana nao asingekaa kimya Ila kwakua wote wapi dukani mnawadhalilisha kwa pamoja hiyo sio haki mwizi mmoja mukawajumuishe na wasiokuepo
2026-08-19 10:04:23
1
zinat 💞💫✨ :
tulien sasa tuwaskie jaman 🤣
2026-08-18 21:01:34
4
👗shamally🚽 :
kwan wameiba nn jmni
2026-08-19 09:00:08
1
@s a l a ❤️m a❤️💖💝🥰 :
ila wazazi mbona mnatuzalilisha ivo😢😢😢😢
2026-08-19 09:13:48
3
babyhuled :
ukute yote hayo sababu ni kulea watoto mkono mmoja sitetei wizi lakini kulea kuna kazi kubwa jamaniii kuna watu tunawaelewa sema njia waliyopita sio nzuri
2026-08-19 05:44:51
4
livian waziri :
mhh.?
2026-08-19 06:56:10
1
nyapazzy og :
toba🏃🏃🏃🏃
2026-08-19 05:38:07
2
farida wa abuu :
atariii
2026-08-19 05:08:37
2
Jessy Store🦋❤️ :
Bahat mbaya hyo inaitwaaa😂😂😂
2026-08-19 08:50:39
1
sharry💦 :
jamaniii
2026-08-19 08:37:10
1
happy🌸💞💍 :
dada Naah nilikuambia lkn😳
2026-08-19 04:16:28
1
HAMiSi :
Uko wap
2026-08-19 08:06:51
1
Vomo_Fundimasikio :
Huyo si shemeji kabisa
2026-08-19 09:22:26
1
j.Expensive💦 :
nimemuona ninae mfahamu
2026-08-19 08:58:36
1
sabby🦋❤️ :
inauma sana dah mama zetu jmn
2026-08-19 08:46:04
1
Zuhura Yusuph :
poreni kinadada tupambaneni jamani
2026-08-19 08:32:01
1
To see more videos from user @sizrolly, please go to the Tikwm
homepage.