@uhondo.tv: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema Tanzania na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) zimekubaliana kuimarisha ushirikiano katika sekta ya madini, biashara, uwekezaji, miundombinu pamoja na amani na usalama. Rais Samia amesema hayo leo Agosti 18, 2026, Ikulu Ndogo Zanzibar, mara baada ya kumpokea Rais wa DRC, Félix Tshisekedi, akieleza kuwa nchi hizo mbili zina utajiri mkubwa wa rasilimali za madini na hivyo kuna fursa ya kubadilishana ujuzi na uzoefu katika uchimbaji, uongezaji thamani na masoko ya madini. Amesema katika mazungumzo yao pia wamegusia masuala ya amani na usalama, ambayo ni nguzo muhimu kwa maendeleo ya Kanda ya Afrika na dunia kwa ujumla. Aidha, Rais Samia amesema Tanzania, kama mshirika wa karibu wa DRC, iko tayari kuendelea kushirikiana na nchi hiyo katika kujenga uchumi unaowaunganisha wananchi wa mataifa hayo, kuongeza biashara na uwekezaji, kuboresha miundombinu na kujenga mazingira ya amani na ustawi wa pamoja. Kuhusu miundombinu, Rais Samia amesema kukamilika kwa ujenzi wa barabara ya Kalemie–Manono kutasaidia kuunganisha Tanzania na DRC, huku ikichochea shughuli za kiuchumi katika nchi hizo mbili pamoja na ukanda wa Afrika Mashariki na Kati. Ameongeza kuwa Tanzania na DRC zimesisitiza umuhimu wa kuimarisha biashara kwa kuondoa vikwazo visivyo vya lazima, kuboresha huduma za mipakani na kuwezesha sekta binafsi kushiriki kikamilifu katika fursa zitakazojitokeza. Rais Samia amesema ziara ya Rais Félix Tshisekedi nchini Tanzania imefungua ukurasa mpya wa kuimarisha zaidi uhusiano wa kihistoria na ushirikiano wa kimkakati kati ya Tanzania na DRC. #UhondoTVUPDATES

Uhondo TV
Uhondo TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 18 August 2026 12:57:41 GMT
47475
3201
95
274

Music

Download

Comments

myfiles.documents
Myfiles Documents :
Asante
2026-08-19 06:55:27
0
charlykiunda
Charly kiunda :
donc c'est pas nous seule que kisekedi trompe ?
2026-08-19 08:15:24
14
osmannathan1
Mr osman nathan :
mfundishe kujenga barabara za kuonganisha mikoa huyo
2026-08-19 13:29:36
3
user5066237234615
Elon Musk :
Tanzania na DRC sasa ni ndugu asante sana mama samiya kwaku shirikiyana nasi
2026-08-19 15:41:40
4
doudoukatima
ktm :
il vous a promis quoi ????🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-19 09:29:34
2
000sungn
John Sungura :
Uongo mutupu Tchisekedi anakuambia
2026-08-19 07:07:45
4
kavishwakoti
mr gain without pain. :
MADINI!!!?, DRC watusaidie kuchimba?
2026-08-18 13:22:04
3
nyuki_officiel
sylver boy nyuki :
Karibu drc mama ila uchunge sana kumejaa matapeli?
2026-08-19 09:18:45
2
kosmo045
vanboy de bunia🗽Ⓜ️TZ :
vraiment suis ravie d'écouter ça 😅
2026-08-19 07:04:25
3
user7921319081654
masunzu kyavwenda :
Kumbe siyo sisi pekeyake tunaye danganywa na tsisekedi
2026-08-19 12:29:32
2
user3096504426752
ELIAS :
Hapo umenifuraisha wa Zambia wametutesa sana
2026-08-19 07:15:55
2
yves.lesage2
Yves Le Sage :
Tanzania, Burundi , CongoDRc tupo wandungu
2026-08-19 16:04:07
0
salimukiandiko
salimu :
mwambie Rais chiseked atuondolee kanyaka tumeichoka
2026-08-18 18:38:59
1
maitreyoda32
Grand Maître Yoda 😶‍🌫️🫩🤞🏾 :
Attention avec lui,…
2026-08-19 11:40:11
0
bulonza49
volonté$$$ :
next
2026-08-19 16:09:38
0
mose43223
moïse :
asate sana
2026-08-19 16:54:13
0
donatienomenu7
Donatien Omenu :
Ufanye wangalisho sana kuakuwa Raïs wetu tshisekedi haeshiyake mapatano.
2026-08-19 07:36:35
1
mandaerick
judith mufungizi :
shisekedi ndio nani
2026-08-19 15:59:51
0
emmanuelbishikwab
Emmanuel bishikwabo :
waza
2026-08-19 14:31:58
0
atibumao
Atibu Mao :
vraiment
2026-08-19 13:00:16
0
chrismenmenko
chrismenmenko :
asante sana mm ❤️❤️🇨🇩🇹🇿
2026-08-19 14:42:57
0
user9308581746684
Louis+Aisha and familly :
karibu kwa muungano wako muheshimiwa mama samia suluhu Mungu akubariki
2026-08-19 15:25:34
0
user8236379248815
[email protected] :
chekedi siyo mm ni tshisekedi 🤣🤣
2026-08-19 13:50:36
0
kalondapascale
kalonda Pascal :
un bon projet
2026-08-19 17:02:09
0
maestrodieudonne6
maestro123 :
DRC 🇨🇩 🤝TANZANIE 🇹🇿
2026-08-19 05:09:05
0
To see more videos from user @uhondo.tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About