@vodacomtz: Hii #ZaidiYaMdundo challenge mbona kama kanda ya Dar & Pwani wamepania mnoo 🔥North walileta yao, South wakajibu.. sasa Team Pwani wameamua kuonesha nyumbani kwa mdundo halisi ni wapi. Wazaramo wameweka viwango vipya kwenye #ZaidiYaMdundo Challenge! 💃🏽💥