Mimi nafkiri haya ya maulid tungeyaacha tukashughulikia dini yetu bila ubaguzi wowote
2026-08-18 21:00:48
6
sharif :
aallah allah zidizd shekh unasaut nzuri sana unafaakusoma maulidi kabisa
2026-08-18 20:37:48
4
Alinyo :
Ww mwenyewe hiyo sio Fani yako usitafsir unavyotaka maalim Itakuwa Itakuwa ya Mussa na Hidhri ktk bahari ya Elimu
2026-08-19 02:53:54
2
Mutanabbi :
naanza kuandika kitu gan hyo فعل متعدي يحتاج إلى المفعول kwahy مفعول yake iko wap sas maaan yake kaondoshwa تقديره
أبتدأ الإملاء اي صفات النبي kwahy nd maana tunsema صلى الله عليه وسلم
والضمير يعود إلى النبي
2026-08-19 05:19:36
1
Yahaya Nyuha :
إنا أنزلناه في ليلة القدر ، umesema dhwamiri inarudi kwa aqrabi madhkuuri,niambiye hiyo dhwamiri ktk aya yarudi wapi??
2026-08-18 15:55:06
1
jabalkiss :
Hivi kwann kama mtu sio fani yako mashairi uwaachie wenye fani zao kila shairi lina kibwagizo tulizeni wenye kujua kama nyinyi hamjui
2026-08-19 00:10:23
1
hassan :
kuna watu wengi hawaelew kuhus uislam...hv huo mda wa kubishan waislam kw waislam mngeutumia kuhubiria wat waelew uislam bs uislam ungkuw ushafik mbali san
2026-08-19 04:27:40
1
Abdi Othman210 :
Shk una sauti nzuri ya Maulidi
2026-08-19 09:37:46
0
mudzain@29 :
salallah alai wasalam nikama kitikio
2026-08-19 03:38:25
0
babaa ajmal :
skia saut yke
2026-08-19 05:57:05
0
Ahmed Omar :
Mashaalah sauti nzuri karibu kwenye maulid moshi jumatatu
2026-08-19 08:47:25
0
UJUDI :
sheikh Allah akulipe Kila la kheir Kwa kutuelimisha tusiojua
2026-08-19 12:47:12
0
user8415681030776 :
ingieni kwenye elimu za tasaawufi jaman
2026-08-19 08:04:20
0
Rashid ali :
anaitwa sheikh gan
2026-08-18 18:38:47
0
the ancestor 𝐩𝐮𝐧𝐣𝐢𝐥𝐢 :
𝐰𝐚𝐢𝐬𝐥𝐚𝐦 𝐤𝐰𝐚 𝐯𝐢𝐭𝐚 𝐬𝐳𝐚 𝐧𝐝𝐚𝐧 𝐦𝐚𝐬𝐡𝐚𝐚𝐥𝐥𝐚𝐡
2026-08-19 03:34:39
0
mkota :
mashaallah shekh
2026-08-18 16:14:43
0
cheny white :
🤣🤣🤣Huyu sheikh kanifurahisha kweli
2026-08-18 15:05:07
0
jabalkiss :
Inampasa mtu kijitunzia heshima kama ukiacha kusema usichokijua
2026-08-19 00:11:17
1
uwazalo silo :
sheikh asikia Raha kusoma barazanji
2026-08-18 15:10:50
0
Akhi :
dua yoyote aipokelewi mpka atajwe Rasul saw na dhamiri hii ni ya kupekesha dua Bali sio himdi na msomaji asoma kwa dhamiri ya dua na Innanza Allahuma salla alayhi anatangulizwa Allah na Mtume wake na sio Mtume peke yake
2026-08-18 22:13:30
0
🦋🦋..lalu...🦋🦋 :
mutaelewa tu kidgo kodgo na mambo ya kuzulia Dini
2026-08-18 17:56:33
2
abdull :
mimi nawauliza watu wamaulid hiv hii maulid ni sunna au faradhi? lakin hawanipagi jibu
2026-08-20 10:00:56
0
BASGHAYEV 017 :
asante ustadh ALLAH akubarik
2026-08-19 10:31:21
3
abdull :
mimi nimeuliza nawew unaniuliza mimi tena me nimeuliza ilinipate majibu
2026-08-20 16:24:20
0
Humoisa :
anaitw sheikh Mohamedi Is-haqa
2026-08-19 11:42:26
0
To see more videos from user @allianrhaule1, please go to the Tikwm
homepage.